tulio pamoja na mwamba tujuwane ukileta tamaa Bora tugawane majengo
2026-10-04 07:03:01
18
Jahq_stre. :
Wanawak jau sana, ☹️
2026-10-03 20:09:57
9
user91329274020163 :
Wanawake wanabarika sana sina ata ham nao na siowi tena!
2026-10-03 21:58:46
11
Dahuaaa1234 :
Sitaki kushea chochote na mwanaume nile nishibe basi afanye yake kila kitu kwa jina lake sitaki anishirikishe chochote na mimi nikija jaliwa nitafanya yangu nikikosa basi nikae ivyo nikipewa kula haya nikipewa nguo haya kama hawezi pia basi nitakula kitachokuja mbele yangu nitavaa hata kauka nikuvae sitaki shidah
2026-10-04 04:49:48
16
Rachel Lameck :
Asee ikifikia hatua hii bora nisije olewa kabisa Acha tu niwe pekee yangu
2026-10-04 06:55:06
3
Mussa Elias :
shetani ana nguvu sana tuzidikumuomba mungu sana atujalie mwisho mwema
2026-10-03 21:39:58
8
user38472947373 :
inaumiza sana hao watoto mama hayupo tena baba anateseka jela 😳😳😳
2026-10-03 21:01:21
2
marselinarweyemamu :
wanaumiza watoto tu jamni Haya Sasa wamebaki yatima na baba jera sasa
2026-10-03 18:03:53
12
BABA KAI :
wanaume tunaweka sana moyoni maumivu mpaka kufikia hatua hiyo hahaha kuna mengi sana ambayo sisi hatuyajui ila nachoamini kuna mwanaume amechangia kuharibu hiyo ndoa
2026-10-04 10:20:07
3
nikkieeeee01 :
Tumuombe mungu sana dah
2026-10-03 19:14:45
7
kiria__007 :
Kwani utanifanya nini? 😁
2026-10-04 03:55:44
2
@BINFISI 2 :
MORAL LESSON OF THE STORY IF MARRIAGE IS NOT WORKING IT'S NOT WORKING 🥺THERE IS NOTHING LIKE I WAS SAYING THAT BECAUSE I WAS ANNOYED BBY. LOOK FOR A COMPATIBLE SOUL INSTEAD OF KILLING 🥰
2026-10-04 12:45:37
2
r🇹🇿🇹🇿 :
Speechless
2026-10-04 08:30:43
2
mwenetuuu :
huwezi Pima furaha hadharani
2026-10-04 10:51:36
1
Duduqwe :
dah😥😥
2026-10-04 05:17:23
1
user9477144609281 :
yuko sawa
2026-10-04 13:34:22
1
Liliani mwacha :
Ni mateso tu kwa watoto
2026-10-04 09:11:19
3
Prisca Andrea :
baba alijua kufana na wanae
2026-10-04 07:12:26
2
Cheketua💜 :
ila ndoa nyingine izi eee Mungu ndo anajua yanayoendelea humo ndani
2026-10-04 06:09:47
4
THE MAN OF GOD✝️✅ :
Nawakumbush watu wa Mungu ndoa bila kumweka Mungu mbele haipo salama nafasi ya Mungu iwe kubwa katikati yenu kwa maan shetan bado anafatilia san ndio maan kwa sasa watu wanaon ndoa ni kitu hatar san ni mpango wa shetani watu waione ndoa chungu tuzid kumuomba Mungu maish yetu bila Mungu ni bure 👉🏻👉🏻👉🏻Zaburi 127:1🤏🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
Bwana asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. Bwana asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure.
2026-10-03 23:09:45
5
dr lisah :
kuuliwa hakuanzagi gafla waulizen waliokimbia majumba pumzika kwa amani mpendwa
2026-10-04 04:39:51
3
Asante Yesu kristo mfufuka🙏 :
km mwanamke ndo alinunua na kujenga means hati inasoma majina yake. Sasa mwanaume ndo alitaka kubadili majina au?
2026-10-04 09:39:16
1
Emmanuel Mnada :
kwa nn atake kubadilisha hati ya nyumba imsome yeye kwan alaitaka kufanyaje baada ya kufanikiwa kubadili hati?
2026-10-04 09:12:39
1
junoheratheGodeSS :
majuto aliyokuwa nayo huyo mwanaume alipo🥺
2026-10-04 09:29:36
1
rehemajohnsambula :
hasira hasara[Broken heart]
2026-10-04 07:15:23
1
To see more videos from user @inlfu, please go to the Tikwm
homepage.