working means force + distance or doing a job and get paid...only that
2026-10-03 22:28:12
0
DR. GABRIEL SASI CHACHA :
i like this man....huhu
2026-10-03 22:36:49
0
BROTHER CHIDY FASHION DISIGNER :
mie nashauri tu,huyu mwamba siku moja apewe uraisi wa Tanzania because anaweza.
2026-10-03 19:15:21
31
abdulqadirkibassa :
ENGLISH YANGU SASA, YOU KNOW I TRUST MY GWAD,YOU BELLA WATCH, LONG TIME KUDA CHANGE PLAN.
2026-10-03 22:41:22
2
Aysher1 :
huyu ndiye rais wa 2031 InshaAllah
2026-10-03 21:05:22
6
user72566108332614 :
makamu he best man so was sapoty to be president
2026-10-03 19:34:19
0
ngekewa777 :
yeeeees hofu coz
2026-10-03 22:52:21
0
Man man :
halooo Rais Samia hajakosea kukuchagua kuwa Makamu
2026-10-03 17:46:33
20
Feizol T^ :
Tusomesheni jamani makamu anajibu hoja na point za kisomi sana he is a best leader
2026-10-03 19:10:38
13
Tiki ubini :
watu wakina tubasahau mapema apewemuda
2026-10-03 21:37:01
2
similtone609 :
nawakumbusha kizungu sio kitu kwenye uongozi
2026-10-03 22:07:01
1
. :
Anamzidi point hadi boss wake
2026-10-03 19:16:44
4
addy victor 🦋 :
Aah hili jamaa full confidence 😂🔥
2026-10-03 21:02:24
3
Matty :
Kuna comment jamaa kasema ety uyu apewe urais😂😂 kama ni kuongea lugha tu kuna mimi apa ukinisikia hutotamani niache kuongea lakini niko mtaani mpaka leo
2026-10-03 21:00:48
5
Mary Ignatus :
Kwahy mama ndio haliamua kuchagua kijana wake hamsaidie majukumu
2026-10-03 22:17:34
2
choir master :
sijui kingereza , hao private sector wanapata capital kwa sababu hata kwenye kukopa kuna vigezo
Yuko vizuri sana , wangemchagua muda mrefu huwenda wangekuwa mbali hata kisiasa
2026-10-03 19:27:07
0
Osman007 :
Wabongo bhn😂😂😂 mtu kapiga ungenge kidogo eti apewe uraisi😂😂😂 aiseee tupo nyuma sanaaa😂
2026-10-03 22:49:45
0
John Mrombo :
Mm jimejitahidi kuelewa lakini wapiii😂
2026-10-03 20:52:20
0
Said Mujilili :
Mama alijua kumchagua msaidizi wake hapa alipatia Allah walinde Viongozi wetu wa Tz kuanzia Rais Samia suluhu Hassan na Makam wake Waziri Mkuu na pia wengine kwenye majukumu yao ya taifa
2026-10-03 21:23:17
1
gabibo537 :
huyu jamaa confidence y a Hali ya juu Yuko vizur
2026-10-03 19:41:26
1
mamy luu :
nampenda kuliko.roho yangu
2026-10-03 20:14:22
0
naser_seven :
big up
2026-10-03 19:07:40
2
kilian george :
safi sana
2026-10-03 18:47:36
1
To see more videos from user @goodluck52715, please go to the Tikwm
homepage.