@omarimshairi: SIMBA QUEENS MABINGWA NGAO YA JAMII 2026 ... FULL TIME ; 🔘 SIMBA QUEENS 1 - 0 JKT QUEENS AISHA MNUNKA ⚽️ Simba Queens ndio timu bora ya kike hapa Tanzania walichofanya wamestahili asilimia zote. Jkt Queens ni timu hatari katika soka la wanawake Tanzania ila leo wamekutana na timu bora. Kadi nyekundu kwa Maseke iliwafanya Jkt Queens kucheza pungufu kwa takribani dakika 35' Powered by Matukio Muhimu Sports Wear