@lady.zuu86: #ndoa

lady zuu
lady zuu
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 17:16:55 GMT
40061
1736
151
685

Music

Download

Comments

rasamalkheiry
RASAM💫🕸️ :
I'm just keep studying marriage life out of marriage 🙆💥
2026-10-04 19:31:01
1
swamad_7
Abdul swamad maulid✅ :
dahh inauma sana hii kitu mwanaume ukipata nafasi yakumumiza mwanmke kk umiza liza bila huruma washatuharibia sn maish
2026-10-04 11:07:29
44
nufycollections
NUFY COLLECTIONS 🛍🪄 :
mtume maumivu yakee anajuwaa mwenyew munguu ampee nafuu inshaallah 😌😌😌
2026-10-03 17:57:55
51
khusanov1234
خوسانوف 🇦🇷🩵🤕💱 :
😂😂😂😂me nacheka bhna😂😂😂😂 una sasa single people's tunafurah tukiona ivo
2026-10-04 06:50:32
23
challayaruh
challah💕 :
Iyo liniii iyooo😂😂😂
2026-10-03 17:29:38
21
mcatalunya
𝐎𝐌𝐌𝐘 🕸 :
😂😂😁 alijua utani
2026-10-04 07:48:09
11
user4576312521515
mariam :
pole kaka wapo wengi utapata kuliko huyo
2026-10-03 18:54:05
8
bado6514
MUFIID :
ila Kuna wanaume wanapata wanawake wazuri kweli kitabia kimuonekano lkn wafany ujinga wakajutia badae na pia wanawake Ivo Ivo sijui shida Nini na kwanini kizuir mukiogope naomba jibu.....??
2026-10-04 09:58:40
21
abounasry1
Abou Nasry :
inauma sn [Teary eyed]
2026-10-03 20:23:20
2
aisha.rashidi312
Aisha Rashidi :
akun kitu kinauma kama siku ya kwnz ya kweny ndoa unawaz Sasa ivi wamekumbatian au umelala daa mung Wang 😭 I
2026-10-04 04:31:31
19
delax877
silènce 24🔥📸 :
dah sio poa mimi nilifka kulazwa mungu amtie nguv maana moyo unakua kama ulochomwa na msumari
2026-10-04 08:32:30
12
usher.heathcote
Usher Heathcote :
wallai its painful
2026-10-04 05:51:56
5
user9021833402997
cutemuzlly :
pole xana kaka mie nishawah pitia uko mtu wangu alinidangany kumbe kaend kuoa mwengine duh maumivu yake x maxihara but now nipo sw tu na niko fine
2026-10-03 18:56:41
14
ibnu_edrees01
𝓘𝓫𝓷𝓾_𝓮𝓭𝓻𝓮𝓮𝓼🇹🇿🇪🇸 :
dah inauma saan hao wakujikuta waarabu ndio walivyo ilinikuta ilaa nilimuachia Allah mara nying shida inakua si yeye mwanamke ndugu hasa wa upande wa mama lakin ukikaa baadae utajua kuwa Allah kuna kitu alikuepusha nacho
2026-10-04 14:37:53
5
glamasia4
❣️glam Asia ❣️ :
😭hkuna k2 mbya kma mapenzi weeeee kaka Allah akupe subra n sahau
2026-10-04 14:45:09
2
hamdanjouma
Hamdan Jouma :
pole kaka hata aliowaumba kasema tuishi nao kwa makini
2026-10-04 13:18:09
3
nawfal_nado05
nawfal_Nado05 :
dah kama namuona anachopitia halafu sifikirii kama atamuamini tena mwanamke yoyote zaid ya mamaake mzazi
2026-10-04 04:13:04
6
bado6514
MUFIID :
kwani sie wanaume na wanawake kwanini hatuambiani ukweli kwanini tunadanganya watu mtu kama huna haja nae si umwambie ukweli tu usimpotezee muda
2026-10-04 09:57:26
4
manalganzel66
manalganzel😍 :
🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-04 13:40:57
1
temmy.tozzy0
Temmy Tozzy♍ :
bado me Nipo njian kaka nakuja uku uko 😂😂😂😂🤣🤣
2026-10-04 09:59:05
2
malkia341
Malkia :
Bwana musipumbazike ni content tu hiyo harus ni yakaka yangu na nilikuwepo ila vituko [Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-04 15:05:08
1
vitaakili88
🦋Fighter🦋Rayhan🦋 :
2026-10-03 18:54:28
0
user455078107484
Theo cml :
mimi skulia matokeo yake nkawanapewa pesa
2026-10-04 10:25:33
1
inner2004
fetty :
sichek maan soon yatanifika😂
2026-10-04 09:10:13
2
platinyo.26
platinyo 26 :
hapo hapana utani
2026-10-04 08:39:35
2
To see more videos from user @lady.zuu86, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About