tulikuwa hvyo hvyo haiishii wik hatujagombn but u can't believe dis week tumebreack up
2026-10-04 17:25:18
1
user7801605566230http://tiktok :
stk kabis kusikia nen mahusian nimeish n mtu miak 9 wallah sikuw n mwengin inshort n pain story😢nataman nipat mtu nimuhadithie anielew jins ninavohis
2026-10-04 12:58:33
6
habibty rahma🧕♥️🌹✨🕊️🇴🇲 :
mm ipite siku Bila ugomvi aiwezekna lzma tugombane
2026-10-04 16:18:16
3
mimha love ❣️❣️❣️ :
yani ni sisi kabisa week haipiti bila kununiana ila siku mbili tumepatana nampenda sana kivuruge wangu
2026-10-04 19:35:11
2
it's me :
usiende mbali na me 🥺🥺🥺 weeh me bado nakupenda 😂😂
2026-10-04 12:05:55
3
user83536752515307 :
sisi jaman ipite siku hatuja gonbana iyo siku wallah tukapimwe hospital 😂😂😂
2026-10-03 20:53:24
2
Ukhty💕🫂🇹🇿 :
nataman iwe ivyo ila aiwezekan man sijawai pata yule ninae muitaji😭😭😭😭😭😭
2026-10-04 20:21:26
3
Ummul Ayman :
kuachan labda nitake Mimi au mung u bila ivyo tutaendelea inshallah😭😭😭😭😭😭
2026-10-04 15:29:24
2
Bee🐝 🐝 :
tuna miaka 5 ya mahusiano, kweny hiyo miaka 5 tumeachana mara 90 na zote hakuna alomove on na tukarudiana tena na hakuna aliechepuka simu zinajieleza😂😂😂
2026-10-04 18:05:51
2
@Nuwayra.13 :
Yaan hii inanihus kabis ingaw tumenunian lkn bd tunapendan
2026-10-04 17:20:44
1
mama mtu🌹❤ :
kuna mtu nilimpenda sana kupita maelezo ilitokea sababu kidogo tu Akani block inauma sana🥺🥺
2026-10-04 18:35:28
1
🦋Your_majesty♡ :
Halafu kuna sie tulokaliana kimya kila mtu analinda brand
2026-10-04 20:57:39
1
zahra cute 💗 :
Kwa kwely 🤗🤗🤗
2026-10-04 04:26:08
1
FALME ZA KICHAGA :
Popote ulipo mungu akubariki na akutimizie hitaji la moyo wako
2026-10-04 20:56:38
0
Nova Queen🤴 :
Wanapotezea mda watu wanaume afu kumbe wana watu wao wa mLengo
2026-10-04 21:33:00
0
Lastborn wa ARU✍️ :
wangu asiione hii maan nimemnunia siku ya pili hii😅😅
2026-10-04 22:08:16
0
salmin007 :
🥺🥺tulikuwa hivyohvyo ila now wiki ya pili hii naendelea na dozi😭
2026-10-04 20:30:00
0
chau :
haki mm na ba mtu achana na mtu ambae mkitombana mnasikiana ww uyo kunamtu unakutana nae unakuta yeye ndio ww ww ndie ww oya sisemi kitu mapenzi matamu bana uki mkiwa navichench vyenu ba mtu nakuelewa we ndo vitu vangua mamae
2026-10-04 23:17:36
0
🧸 ꧁Xÿrælzévynne꧂🌸 :
@🧸ꀘꍏꀎꈤ🍁🇨🇦
2026-10-04 10:31:26
3
Nino🦋❤️ :
@🦋🍓mamukipnz ❤️❤️ni wewe pekee ndio unaweza .chezeaa moyo wang vile unataka
2026-10-04 14:28:25
2
Nour🥰 :
@latinoofficial_tz
2026-10-04 06:29:33
3
LANIE💫🤎 :
❤️❤️❤️
2026-10-03 17:44:24
1
Zahra Zahran💞 :
@Pablo Escoba
2026-10-04 21:34:13
0
😘😘 :
@bobshumdrah
2026-10-04 22:30:19
0
AMIGO..🍂🍁🍃✨️💖 :
@🌸🤟kabinti special🤟🦋
2026-10-04 21:36:34
0
To see more videos from user @king_mudrick, please go to the Tikwm
homepage.