sio kweli kuna kaka yangu ni M na wifi ni R oyaaa wamefanikiwa wanaidhi nyumba ghorofa wana v8
2026-10-03 21:12:04
3
Najma Hashimu :
sawaaa nimekuelewaa nyota yapunda anapaswa kuolewa na nyotaa ipi?
2026-10-03 21:55:15
1
Mrs paplizo og :
kweli kaka
2026-10-03 20:09:57
1
Mohamed Chauya :
tayali nishakosea Sasa nafanyaje
2026-10-03 18:54:29
1
Raj :
hizo ni ndoto hakuna ukweli
2026-10-03 20:19:06
2
DAAMKUUBWA😘😘 :
naomba mimi ni H niolewe na herufi gani?
2026-10-03 19:06:03
1
pretty :
M mume y inakuaje
2026-10-03 21:54:57
1
Hulfety Design :
Mimi ni F mume wangu A na tunapendana vp😅
2026-10-04 05:20:49
0
ummy rumaysa :
kwhy tufanyeje😳
2026-10-03 21:49:49
1
Why me💔 :
aisee me m mwenzang A hakuna kitu ninachosema akakikubali kila kitu anapinga[Teary eyed]
2026-10-03 23:23:04
0
Anuary z Abdallah :
me kama kiongz nimeona coment za wananchi hazijibiw na wanatak majibu😁😁
2026-10-04 05:49:53
0
Guzman :
uwongo mtupu Ar-rasulSAWvalimwuoa Aisha RA waliishi Kwa furaha
2026-10-04 05:43:49
0
wisegirl🌸😍 :
Kwaiy unamaanisha Waliowan A na M waachane
2026-10-04 05:49:22
0
user75546309757733 :
naamini kabisa
2026-10-04 04:08:57
0
mussaabuubakar :
hyu nae munamuelewa
2026-10-04 03:34:33
0
usermgeniakilimali :
Mashaallah Umesema kweli kabisa ukiona wamefanikiwa ni kudra za Mungu zimewatembelea ila mara nyingi ni balaa na AMYkwa BNZ ni balaa tupu usijichanganye
2026-10-04 04:28:29
0
user7629845657335 :
A na s je nyota zinaendana au
2026-10-03 23:52:28
0
pendo pendo :
All j
2026-10-04 05:57:19
0
Mariamu Nkungu :
je kama amanipa mchongo wa biashara na Kila mtu ana mtaji wake ktk kifanya biasharai ila ninasafiri pamoja ktk kwenda kufuata biashara hapo vp
2026-10-04 05:54:36
0
Zainabu Lamadhani :
sio kweli kabisa
2026-10-04 00:50:33
0
mariamu :
daah.nimechoka.mie🙏
2026-10-04 01:23:50
0
user9150534934059 :
Je F na K vp wanaendana
2026-10-04 00:51:36
0
♥️Amynaty#👣 :
nikweli mimi mme tukiachana kila tunacho kifanya hakiendi
2026-10-03 19:50:31
0
To see more videos from user @jechaonlinetv, please go to the Tikwm
homepage.