italians wakikula hivi, no one complains. but mkenya akikula, anateseka
2026-10-04 11:39:58
98
S̰̃ã̰s̰̃h̰̃ỹ̰💓 :
inaslap wee
2026-10-04 07:56:31
20
carly😘 :
hii meal imenipush those bad days
2026-10-04 11:20:19
0
Tonny :
dish yangu favourite unasema ni ya watu maisha imetwanga
2026-10-03 23:46:21
241
Kijana ya atuoli🇰🇪🇰🇪 :
Bro I think you mean week mzima😂
2026-10-04 11:17:42
1
Bethany Nyambura :
mimi Leo nimekula ugali ,kachumbari na tomato sauce
2026-10-03 22:00:25
63
CRYSTAL MARKETS :
Umewahi pika ugali ukaweka chumvi 😂😂😂 alafu unakula na maji😂😂2018 i will never forget you
2026-10-04 10:57:51
29
allo♥️ :
walai life ishai nifikisha apa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-04 12:41:37
3
ZYR🥀 :
nilikuwa nimengoja ata mayai 😂😂 kwani situation iko aje
2026-10-04 11:27:42
9
sweet dana :
thanks for giving me lunch ideas [Big LOL]
2026-10-04 08:35:41
1
seru swee😘 :
huku ni wapi aky?8 @10 bob?kwetu ni 3-@20bob🤭
2026-10-04 10:25:33
2
Shibobo :
nyanya 8/10, kwani Uko Ruiru 😂😂
2026-10-03 19:01:31
11
Mac_muga :
😂😂mkuu unanibamba nimekufollow,itajipa tu😅
2026-10-03 17:53:14
9
Devie :
nunua mayai mbili😂😝😝
2026-10-04 09:14:33
5
Eddie🤓 :
🤣🤣🤣🤣🤣
wewe hujateseka, kuna day mzae alikua anakuja na sukari nguru, madhe anapika sima ya mtama tunakula na sukari nguru.
weeeeeeh!
2026-10-04 00:27:58
0
bella :
Huwa ina slap 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-04 07:06:33
4
NANALUCIA :
Looks yummy.
2026-10-03 21:09:02
2
Dan mwangi :
kuna time nikiwa shule nilibaki to na unga tumafuta na nyanya......nilifunga mlango nikaanza kupika ugali na nyanya na nikasema incase msee abishe nikipika hio mix naweka maji na nianze kuosha vyombo mtu asijue ile umaskini niko nayo😁😁😂
2026-10-04 08:55:00
4
dee💕💕 :
inakuanga tamu
2026-10-04 10:37:08
1
mama zion :
hua inaslap
2026-10-04 16:11:47
0
Phelis Crown Salon :
natamani
2026-10-04 17:05:58
0
Shahnaz🦋 :
Kwenu ni wapi nikujie nyanya
2026-10-04 17:45:30
0
kiyondi :
2026-10-04 16:31:47
0
Arnold Kiprotich :
boss allow us to download 😅😅😅
2026-10-04 16:31:38
0
Brixxx :
Wah bro
2026-10-04 17:47:07
0
To see more videos from user @thenoy21, please go to the Tikwm
homepage.