mwenye ana damu group O please 🙏 njoo tupendane wenyewe
2026-10-05 10:06:56
56
cutefettie 2024 :
kuchukiwa bila sababu huo ni ukweli kbs
2026-10-05 09:13:15
31
Chaba’s wife ❤️❤️ :
Ajitokeze mwenzangu tupendane
2026-10-05 12:45:57
4
user547302343727672 :
infact
2026-10-05 10:25:23
0
max💋💞💞 :
Kwel jmn duuh[Innocent]leo nimeamini
2026-10-05 11:50:44
2
༺ 𝓞𝔀𝓪𝔀𝓪𝟐𝟎 ༻ :
it's true
2026-10-05 12:16:24
0
Fifi 🥳💦🪐 :
Kwaio kifupi hatuna nyota ya mapenzi basii ndo maan nateseka 😂😂😂
2026-10-03 22:20:02
23
CHEETAH :
mimi ninavyo vywote Nina M mikono yote Nina group O ninayopitia mungu ndoanajua
2026-10-03 18:29:59
23
ms :
kweli kabisa jmn me nachukiwa mpaka naogopa
2026-10-05 07:35:57
4
Kauthar :
yaan kanisema mm mwanzo mwisho dah ila najikadha kwasababu namtegemeya Allah pekee
2026-10-05 10:33:28
5
niphaatz7🔐❤️ :
Namm nd hvhvo
2026-10-04 11:47:41
2
Jb kadege 🐋 :
ndio mimi aisee nina M na nina group 0 aisee uwa nachukiwa sana sijui shida nini mpaka kazini maboss hunihofia napata tabu ndugu hata uwafanyie nini hawaridhiki
2026-10-05 14:33:25
5
user4412607283531ummy wawili :
ila kweli na tunarogwa Sana😭
2026-10-05 11:57:04
0
Atu_Store Nguo Aina zote :
Uje tu rafiki nipo nakusubili
2026-10-05 16:13:08
0
user7022955457324 :
uwiiiii ni mm kabisa dooo
2026-10-05 13:46:10
0
Eufrasia Moshy :
Trueeeeee🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-05 03:12:56
0
sholastika charles :
Mimi hapa Nina M na nipo group 0 ila nisichokozwe hayaishi😂
2026-10-05 09:51:51
0
winimringi :
Kumbeee ndio mana
2026-10-05 07:32:23
1
babyfina :
oooh ndiomaana kumbe🤔🤔kuanzia leo sijali kuchukiwa hakii
2026-10-05 15:35:18
1
Rachel❤️❤️❤️🙏 :
Nachukiwa na ukoo mzima sina rafiki wa kweli, niko na group 0,niko na m, niko na x
2026-10-05 11:58:44
1
Jwrk :
Kanisema kabisa yaani nachukiwa hadi kuna mda najiogopa mwenyewe
2026-10-05 11:59:24
1
Fifi 🥳💦🪐 :
Mbona Kama unanisema mm 🥺
2026-10-03 22:20:32
2
Voronica Daudi :
Nipo apa yaan kuna mda huwa nalia sana mpaka una sema mungu wangu nisaidie bas nakosea wapi
2026-10-05 12:08:40
1
wah'dary🤏🦋 :
Nina gruop O positive na alama mkononi ya m ninavyo ila mmh
2026-10-05 07:41:31
1
To see more videos from user @5star_newstz, please go to the Tikwm
homepage.