@esko_donald: Jinsi ambavyo Steve anayajua maeneo inashangaza sana, huu ni uwezo mkubwa. Bado tupo Arusha kwaajili ya Steve, tunaweza mfunika Steve kwa Mwavuli wetu pitia m-pesa 0723654885 (THE UMBRELLA FOUNDATION) #TheUmbrella furaha yetu ni kuona Wanafurahi!
Mungu nisameh pale nilipolalamikaaa…nimemuonea huruma huyu kaka jmn…Mungu amzidishie kwny kila hitaj lake jamn
2026-10-03 20:04:44
9
official up :
congratulations bro
2026-10-03 17:39:34
3
Pipi :
Mwenyezi Mungu baba tunashukur kwa ukuu wako 🙏🏾
2026-10-03 19:18:07
10
dorah_mollel :
Mungu atabaki kuwa Mungu kunasiku nilikutana maeneo ya seliani nikamuona ninamtukuza Mungu kwa namna alivyo mpa uelewa wa kipekee mtumishi wake utukufu kwa Mungu 🙏
2026-10-03 18:25:17
7
user3660781795555 :
Baraka za Mungu zikumiminikie kama mvua siku zote esko🙏
2026-10-03 17:40:24
5
Bravado_18 🎮 :
appreciate bro kwa unachofanya
2026-10-03 17:43:23
0
Queen Hendry :
MUNGU Mkubwa Sanaa .....😁🥰
2026-10-04 06:40:52
0
Susana Baseka :
Kumbe Anaitwa Steve
2026-10-03 21:49:33
0
King :
Ndugu yetu jamani
2026-10-04 00:37:05
0
ms.fabie :
huyu hata sauti tuu hua anakariri ukimwambia leo naitwa fulani ukija next time ukiongea tuu anakuita jina lako
2026-10-04 07:40:38
0
Miracle Mmasy♌ :
naomba tumfungulie duka jamni
2026-10-03 20:21:12
1
it_me_est :
mungu ambaliki sana
2026-10-03 20:59:21
0
Nafsa Hamis :
wacha mungu aitwe mungu
2026-10-03 23:13:11
0
July de cute :
Duuh kaka nakuomba Mungu akupe maisha mazur iliuweze kusaidia watu weng zaid