Failed politicians 😡😡😡he didn’t do anything when he was in government for coast.. just made money
2026-10-04 17:02:59
2
Senior Matta :
I saw that " Utsi " at the historical site in Malindi National museum [Like]
2026-10-04 14:12:42
0
SWALEE WA 002🇰🇪 :
GOD BLESS KENYA
BLESS KWALE COUNTY
2026-10-04 03:08:29
0
ukhtynasha :
Ukabila tu
2026-10-04 07:14:46
4
Mariga Mandano :
How I wish you could run for the parliamentary seat!
2026-10-04 07:38:44
1
️ :
jamani mm si mdigo wala mduruma, tuuzeni sera zengine kando na sera za kugawanyana ki ukabila, sisi Wapwani wote ni ndugu, akipata mdigo amepata mbajuni, akipata Mgiriama amepata Mrabai. Asanteni
2026-10-04 06:35:25
4
user5395457816194 :
Gov. Achani kwani si mdigo?
Watu wengine walikua serikalini na hawakufanyia jamii yao maendeleo yyte.
2026-10-04 08:59:47
2
user65185173992931mutsoma :
wadigo mkokidogo sisi waduruma tuamke tue na mduruma awanie ugavana
2026-10-04 08:00:53
0
abdulrasul :
ikiwa hivo magavana watajaa wa Kila kabila
2026-10-04 05:07:52
1
Masterslimboy :
nahata waeza pata wengne hawana id
2026-10-04 20:47:45
0
Lionel Mwawaza :
wadigo wako na Kura ngapi...
2026-10-04 18:42:57
0
Uncolly✌️ :
Swali nidze mbona msibishe chidigo
2026-10-03 23:50:53
0
FTBL533 :
Tanzania kwenu
2026-10-04 16:10:15
0
Moحd Tysوn :
bure kabisa
2026-10-04 10:53:47
0
Simba Guleid :
kamata kamata zi papa!
2026-10-04 03:54:13
1
meme254..🇰🇼🇰🇪 :
hawaata wakiambiwawaachagu gavana wao kurazao hazitoshi
2026-10-04 07:31:29
0
Omari Jr :
Dzipapa Dzipapaa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]! Bure kabisa
2026-10-04 10:15:36
1
baloozi :
wadigo hamna kura kuraa ni zawaduruma
2026-10-03 20:22:49
3
Saeed Muhssen :
Utsi hoyee
2026-10-04 04:51:20
1
360b224 :
Wadigo ni wa TZ
2026-10-04 17:26:23
0
Jumaa Mwadzombo :
ndio maana hatutaki wadigo kuongoza bure kabisa hawana maana
2026-10-04 18:16:30
0
Ganzala M. Chiponda~Esq :
This mzee is a menace
2026-10-04 10:58:31
0
Bonny007 :
Mzee Bure kabisa licha ya kua alikua mtu mkubwa kwenye serekali 3 hakuna Cha maana alifanyia jamii yake
2026-10-04 17:57:41
0
ibrahim :
wew ni mkabil san ubinafsi c achani ni mdigo ama sai ni tim ya mduruma awe gavan ivo ndivyo ilivyo
2026-10-04 09:33:53
0
user5528706262478 :
mino naika double chance digo na duruma
2026-10-03 20:04:08
0
To see more videos from user @radio_kaya, please go to the Tikwm
homepage.