@focustvtz: "Watu wa Iringa ni wazuri, huu Mkoa hauna Stress, wanachokitaka watu wa hapa ni kusikilizwa, jamii ya Iringa wanapenda kusikilizwa, kuheshimiwa na wanapenda kushirikishwa, ukitaka kuongoza jamii ya Iringa kwa Amri na Maagizo utafeli, ukilazimisha mambo hapa, hawatokukubalia wala hawatokukubalia ila utajua tu haukonao" - Maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James. #FocusTVTanzania
Focus TV Tanzania
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 17:54:00 GMT
Music
Download
Comments
pongezlyeki :
Hakika umewajua wahehe vema👏👏
2026-10-03 18:48:55
74
It's ZaRa🎀✨️ :
simple like that❤️😅😅
2026-10-03 20:04:58
2
Mama Mkenya :
sisi ndio wahehe [Tears of joy][Tears of joy][Pray]
2026-10-04 03:14:59
0
tinakawala :
iringa oyeeee
2026-10-04 03:25:55
3
Kibe son :
Muulize Ali Hapi kilichomkuta
2026-10-03 22:25:04
2
Nia Ngaile20❤️ :
apo kwenye heshima [Snicker][Heartwarming]
2026-10-03 20:03:35
2
MARTIN :
Daaah huyu mzee katujua hadi kapitiliza[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-03 21:43:42
1
Goliath Mfalamagoha :
wahehe hatupendi upuuzi
2026-10-04 01:50:54
3
Sweet Pain❤️🩹 :
huyu asihamishwe abaki hapa hapa
2026-10-03 20:33:00
5
Agnes Mlonganile :
Nikweli kabisa
2026-10-04 01:25:28
2
cash madam :
na mm ndio nilivyo
2026-10-03 19:10:26
13
CVnewx IT ✅🔧 :
My role model
2026-10-03 19:23:16
3
Elizabeth Kindole :
ndivyo tulivyo damu ya mkwawa haijatuacha salama urithi huo tuloachiwa
2026-10-03 20:08:55
7
Lizzie :
Waoooh nimefrah Kuna mtu anatuelewa🤣🤣 Mitano tena
2026-10-03 21:20:13
5
Linja Tech :
mkuu wa mwamwindi nasema mitano tena kiongoz
2026-10-03 20:10:07
6
samsonilukosi :
safi sana kaka
2026-10-03 21:36:40
1
nasmalumwesa :
Haswaaa
2026-10-03 20:23:44
1
EDWIN MREMA :
Hongera sana mkuu. Darasa tosha hata kwa sisi wananchi.
2026-10-03 18:35:04
5
Farlen :
Ila wakuu Heri James n kiongozi mzuri sana, huyu hata miaka800 atuongoze tu...tunakuombea mtaalam
2026-10-03 19:17:20
4
sanzuke5 :
Tumepataaa mteteziiiii
2026-10-03 23:19:32
1
Ms_Tashaa😍🤎 :
Enheee 😂😂
2026-10-03 21:59:46
1
ASHA :
Imeenda hiyooooo😁😁😁🫶🫶🫶
2026-10-04 03:37:30
1
bakitakihongosi :
Huyu katuelewa kabisa😂😂😂
2026-10-03 20:23:32
4
Mimmer stylish :
Hatutaki dharau
2026-10-03 20:54:08
2
mama tu :
wahehe acha hawana mchezo
2026-10-04 02:13:46
2
To see more videos from user @focustvtz, please go to the Tikwm
homepage.