Kwaio saiv route ya mkoani - tanga ipo kama kawaida !!?
2026-10-30 07:33:30
0
jameel_Ally :
2026-10-04 15:36:16
0
Mussa MAHONDA :
zanzibal one toka zanzibal kwend daar inatoka saa ngap na saa ngap
2026-10-31 09:43:00
0
Ismail Shoka :
pemba _ dar
2026-10-23 14:57:51
0
Binrashid :
Roote ya tanga ndio haipo tena au?
2026-10-04 22:23:25
0
jameel_Ally :
mbona kesho imeandikwa inaondoka saa 9:30 na nijiamaamosi
2026-10-04 15:23:05
0
ashusko :
samahani naomba ratiba ya nzima ya wiki kwa kutokea dar es salaam kwenda Pemba
samahani kwa usumbufu
itakua vzr kama ukinijibu kwa muda utakapo ona hii comment please 🥺
2026-10-30 13:21:51
0
CHAKE CHAKE CENTER MINI MARKET :
aibu yenu watu wa VIP hamuwaambii kama kuna sehemu yao maalum kabla ya kuingia katika meli
2026-10-15 15:01:18
0
To see more videos from user @machozi1986, please go to the Tikwm
homepage.