@carlos_electronics: Unyakyusa ni mwingi sanaa🔥#carlos #goviral @E L I S H A 🌱

carlos
carlos
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 18:47:25 GMT
29759
3387
251
39

Music

Download

Comments

user6170314992617
wendy💗 :
mweee mm ni mndali ila nitataman kuzaliw mnyakyusa
2026-10-04 07:54:30
32
dorrie944
Dorrie 🦋 :
Tungejikuta sio wanyakyusa tungelia sanaa🥹🥹😂🙌
2026-10-03 20:38:02
17
berry.tha
Berry.tha🦋🌸 :
Bado hawaelew raha ya kua mnyakyusaa jamn 😂😂
2026-10-07 12:52:00
2
adellaida869
Adellaida💜💜💢💥💦 :
Tuko pamoja hiii ndo language ya mbinguni1💯💯💯
2026-10-04 08:44:38
5
ney49_
Ney Moca tz :
Ningekuwa siyo mnyakyusa sijui ningefanyaj mm 🥺🥺
2026-10-04 04:12:23
7
phinaonexy
phina onexy :
Ata itokee nmefufukia marekan lazima ntawaambia mm mnyakyusa🤣
2026-10-05 12:50:37
4
bupenz
️ :
Mim mwenyew Mwaisa ila natamani ningekuwa Mnyakyusa 😁
2026-10-04 11:43:21
4
user481343315855
RET4 :
sanaaaaa mwaisa wanyaki tunakaupekee ketu jaman
2026-10-03 19:36:13
5
msemakweli50
HI WILL :
dunia nyingine hatuwataka wanyakyusa
2026-10-04 11:13:24
2
user1638533600348
tuti Samson💗🥰 :
sana kaka
2026-10-04 19:03:16
3
trinah2.2
Tr@kingdom :
ma handsome wetu wa kinyakyusa kula maisha kaka kula maisha🥰
2026-10-04 10:19:27
1
angelpaul094
angelstanley755 :
ewaaa,
2026-10-03 20:12:35
0
ashuramwakisale2
epheno❤️❤️💕👋 :
🥳🥳🥳🥳 kunalaha sana.kuitwa mnyakyusa jamani
2026-10-04 03:30:39
0
berryallan002
berry :
me ningelia sana kitu napenda ni kabila langu🥰
2026-10-04 15:28:55
4
rosemwamposa
@brilliant girl :
karibu sana kaka
2026-10-04 04:21:51
0
neriocious95
@official_neyree :
2026-10-04 04:12:56
0
faridakiswigo2
faridakiswigo2 :
2026-10-03 23:37:03
0
agrippahmsusi
wasusi bomba :
hiyo ni sawa mwaisa😂
2026-10-05 09:45:55
3
jenniel292
jenniel :
sio unyakyusa Sema wabarkiwa banaaaa😁😁
2026-10-05 12:46:23
2
mustdezone
mustzone ln present :
dunia hiiii dunia ya leooo😂😂😂 sawa mwaisa
2026-10-04 16:03:15
1
happy.joseph98
Happy Joseph :
hata iweje nikiona tu nyimbo ya kinyakyusa lzm nicoment
2026-10-04 08:26:30
2
tumpale.kilindu
Tumpale Kilindu :
ikiwezekana tuachiwe dunia tuishi wenyewe
2026-10-04 04:57:17
0
trudah001
TRUDAH COLLECTION👗 :
Ewaaaa🥰🥰🥰🥰😂😂😂 ngoja nikufollow kalumbu ❤️
2026-10-04 04:23:27
0
officialvizzi44
Official Mamaa♥️♥️ :
hata mm kaka angu hakika kuna raha ya kuwa mnyakyusa 🥰🥰🥰
2026-10-04 11:42:43
2
haksanecstacy
Haksanecstacy😍 :
awwwww acha kabsaaa
2026-10-04 07:26:08
0
To see more videos from user @carlos_electronics, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About