love I got from my dad I wish nipate mwanaume wa kujali wanangu hvohvo๐ซ
2026-10-04 09:47:39
0
Hawa Idriss :
miss u so much my dad ๐ญ
2026-10-04 08:11:41
1
mruma :
Big up to All single fathers
2026-10-04 08:22:47
0
user242687 :
nakumbuka baba yangu alishawahi kuniogesha nilivyo kuwa mdogo ๐ฅฐ na pia nilala Mimi, baba na mama kitanda kimoja nilivyo kuwa mdogo. akija nyumbani jumamosi ina kuwa kama sherehe lazima tumuombee hela ya soda hata akiwa mbali kutembea lazima nimkimbilie nimuombe hela ya soda basi anatupa 5,000 kipindi hicho soda ya chupa ni 500 na kumalizia dakika kwenye simu yake, nili mgeuza baba kama ATM nikiwa dependent ,n.k. Baba yangu alikuwa mpole, mwenye upendo, kusamehe, hekima, busara na Most intelligent ๐. Rest in Peace Dad, imebaki kuwa History
2026-10-04 09:17:20
17
moiey๐ค :
father's love ๐ฏ๐ฏ
2026-10-04 10:35:03
0
Parlp girlโจ๏ธ๐ถ :
mimi babaangu kanilea kabsaaaa mpaka namaliza darasa la 7 ndo akaoa โบ๏ธโบ๏ธ
2026-10-04 09:27:58
10
LISA โค๏ธ :
Huez amini baba angu alikua akinibeba ivi nilivo kua naumwa nikiwa mdogo ๐ฅฐ
2026-10-04 08:26:58
11
FIRST BORN GS :
Mueke mbele kipenzi,l.
2026-10-04 08:06:17
12
ุงุฌุชู ูุงู๐ :
nampenda sana baangu japo sikubahatika kumuona ukubwani
2026-10-04 07:51:07
9
Itโs Happy๐ซ๐ :
Single father in town
2026-10-04 09:47:35
0
Queen Hendry :
Akikuwa ajh aimbe nani kama mama .....๐๐
2026-10-04 07:04:33
4
hany๐ :
nampenda sana Baba yangu kwakweli ๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-10-04 08:24:53
2
LIBE๐๐ :
mimi sina baba alikufa
2026-10-04 07:13:26
2
Conshazi๐ฆโค๏ธ :
Bas apo asaiv tutasikia nitafutieni huy kakak๐๐