@sea_food_lovers1: Ndo huyu hapa @young dady✌️👊 Labda mwenye jina la Farha ajitokeze tujue tunafanyaje 😅

Sea_food_lovers
Sea_food_lovers
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 22:44:29 GMT
18047
781
43
12

Music

Download

Comments

halal_boe
HALAL_BOE💍🕋 :
Aandike farhad[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-04 07:49:45
1
sautyadhahabu1
saut ya dhahabu :
fighter
2026-10-04 07:08:33
0
movie_clip_tz
dede👣 movie clip :
atafute farhat mwengine tu tupo njee ya muda
2026-10-04 07:43:12
3
tomtadic13
Thom.13/01..📌💯 :
: HABARI KWA WAZAZI , SISI MADEREVA WA SCHOOL BUS TUNAOMBA MPUNGUZE MAJI KWENYE JUIS ZA WATOTO , ASANTENI KWA USIKIVU 🙏🏽
2026-10-04 05:11:57
2
aiyram3
شادية🥰🤎 :
afuter jmn
2026-10-04 06:42:42
1
rumbispare
Rumbi Used spare parts :
DOOOH andikee farabat
2026-10-04 04:39:09
2
paulanelson42
💞Paula💜💜💜💜 :
Heee wenzetu mnafanyaga nini mpaka mnachorwa tatoo😄😄
2026-10-04 07:17:49
1
riry104
Riry :
FARHAD aandike ivo😂😂
2026-10-04 06:26:11
0
msdidas6
fatma :
apo aweke farhad mana yake ni furaha hio itakuwa poa😂
2026-10-04 05:45:46
0
moj2555
Monicah🇹🇿🩶 :
Mwambie afute aandike monica mi niko hapa
2026-10-04 08:13:41
0
user7067887059678
Blackpool :
kwa kujiamulia mambo 😅😂
2026-10-04 08:21:28
0
kareemissasalota
WIZZO😷✅ :
FarhaYati😁😁😁
2026-10-04 07:06:50
0
mutesikondo
mutesi kondo🫡 :
aandike merlin🤣🤣🤣
2026-10-04 05:44:32
0
last.born.wa.taif2
Last born wa taifa :
2026-10-04 08:42:21
0
officalliyaa
Iyaah _mamy😍 :
yupo huku farhat mwengine
2026-10-04 07:08:07
0
optimusalpha27
optimus_alpha :
Farh Rabat
2026-10-04 07:25:15
0
muchi2359
rose💫sami⚘️ :
alikuwa anachora ajatuambia atuache ss🤣🤣🤣
2026-10-04 07:14:31
0
sisco_mk_ibra
sisco :
aaandike far rabat
2026-10-04 03:15:09
0
suleyman.salim2
Suleyman Salim :
mambie atafute dem mwengine anaeitwa farhat
2026-10-04 05:33:25
0
thauraty
Mamy🥰😍 :
Mwambiy aniandike mm
2026-10-04 04:34:38
0
userasialufunga
Ozil momy💙 :
shem
2026-10-04 05:53:24
0
zenah390
zenah :
alijua kupenda jaman
2026-10-04 05:14:40
0
abuazlan1404
️👑🇨🇦 :
kata mkono
2026-10-04 06:02:55
1
dable.tee
Double tee :
Atafut mwingin Mweny Jin hilo ili aendelez alipo ishia mwenzie
2026-10-04 07:29:07
0
munty6869
munty :
jina la kiume farhan....abadilishe hiyo t iwe n
2026-10-04 07:41:28
0
To see more videos from user @sea_food_lovers1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About