@binaupdates: Kwani hii style ya @harmonize_tz ya kucheza inaitwaje jamani maana kila show anapiga na shangwe kama lote kwa Mashabiki zake anayejua jina lake atwambie hapo chini kwenye comment 😂

Bina Tv
Bina Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 04 October 2026 00:21:03 GMT
449421
34617
650
822

Music

Download

Comments

sabina.shete
✨Sabina✨ :
jamani jamani sasa kajala anampendea nni huyu boy
2026-10-04 08:40:00
288
mrs.jack077
🦋kiduchu🫧💜 :
Madansa kumbe ni kiddy na meddy😅🥰
2026-10-04 08:33:41
805
user4249968285659
zaharntand7 :
ila harmonize anashep mbya jamn
2026-10-04 15:15:29
68
jay247695
JAY🌲🌲🌴 :
Madansa ni kina kiddy au
2026-10-04 04:30:21
295
hamidumipangohd
AZLAN :
remix kaiganda kama yake
2026-10-04 05:16:02
47
ibrahimsaid0777
Young_I.B🥷😈 :
Hao madansa tu ndo wananiacha hoi
2026-10-04 06:45:46
117
sha_yya012
sweet_nova🌸 :
ila kidd na meddy mnapamban San hongeren
2026-10-04 10:31:13
137
nabeel5388
nabeel :
hakuna msanii akianguka watu wanafurahi kama harmonize
2026-10-04 01:45:34
162
user4281373472573
Sammy Sammy :
hii song inaitwaje
2026-10-04 05:37:05
15
hansmachata
Mãchâtä :
hapa ni wapi
2026-10-04 02:05:48
16
harun.mwalwanda
Harun Mwalwanda :
harmonize umekomaa 😂🙌
2026-10-04 06:51:44
31
hauwah89
🦋Hauwah🦋 :
kiddy na meddy wako kazini😁
2026-10-04 19:24:31
14
vmomy3
vailethjohn858 :
weka speed ya 2×
2026-10-04 17:35:07
6
dazuuh00
nancy♥️naifaty💋❤️ :
weka speed 2x utanishukul
2026-10-04 04:41:01
5
eliya.sartre
Eliya Sartre :
baadaee😂
2026-10-04 08:30:24
12
masood.017
LEMCY🇹🇿 :
Makonde staili
2026-10-04 06:06:56
10
homebow
KID ENJOY 🙎‍♂️ :
bila hii style akuna show apo
2026-10-04 12:26:23
11
user5470901918458
wana man :
ila mmakonde ana sifaaaaaa
2026-10-04 09:28:40
6
fella1201
BROTHER FELLA💵🫡 :
tunaipenda na tunampenda pia wew unasemaje?
2026-10-04 06:47:41
9
zaituni1222
zaitunibaby :
Ila nyie jmn mnasemaga wakwet muache jmn
2026-10-04 03:13:20
7
grace2025868
GRAY bella :
mi mwenyewe naipenda hiyo style
2026-10-04 02:33:23
7
bahebe.sepenga
⭐Bahebe✨Sepenga🎹🎹🎧🎧🎤 :
msanii wangu wamisimu yote
2026-10-04 06:22:35
5
khancypher
khancypher :
sasa c ndo style ya hyo nyimbo nyie mlitaka acheze style gan???🤦
2026-10-04 06:53:15
8
ej.ismail
EJ ismail :
c nilisikia amefungiwa kuimba huyu
2026-10-05 17:30:18
5
crystaldeedone
crystaldeedone :
Ila ili jamaa
2026-10-04 01:01:01
5
To see more videos from user @binaupdates, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About