@dkmtimkavu: HII SCREENSHOT AU SAVE LAZIMA ITAKUSAIDIA SIKU MOJA USIJE KUNIULIZA UKASEMA MM SIJAONA MIWASHWA YA MWILI ✍️ KICHWANI UTOSIN👉Bahati nzuri ✍️ Shavu la kushoto/Sikio la kushoto👉 Kupata pongezi na kutukuzwa ✍️ Shavu la kulia/Sikio la kulia👉 Utapata shutuma na kulaumiwa ✍️ Jicho la kushoto kucheza👉 Utapata fedheha na bahati mbaya ✍️Jicho la kulia kucheza👉Utaitwa kwenye mkutano/kikao au utapata habari nzuri ✍️ Ndani ya pua👉Huzuni na bahati mbaya ✍️ Juu ya pua👉Utaudhiwa utagombana au utafanywa mjinga ✍️Mdomo wa juu au wa Chini cheza👉utamtukana mtu au utatukanwa ✍️Shingo kuwashwa👉utapata maradhi au habari ya mgonjwa ✍️Mgongo kuwashwa👉Matatizo na mikwamo katika mambo yako ✍️ Bega la kushoto👉Utakosa raha au kuudhiwa na Jambo fulani ✍️ Bega la kulia👉Utapata urithi au mali kwa urahisi (pesa) ✍️Kiwiko cha mkono wa kushoto (kipepsi)👉Utapata habari mbaya ✍️ Kiwiko cha mkono wa kulia (kipepsi)👉Utapata habari nzuri ✍️ Kiganja cha mkono wa kushoto au kifundo cha mguu wa kulia👉Utapata pesa na utatakiwa kulipa madeni ✍️Kiganja cha mkono wa kulia au kifundo cha mguu wa kushoto👉Utapata pesa ✍️Makalio sehemu ya juu👉Utatokea usuluhishi wa matatizo au magomvi yako mwenyewe na utachaguliwa kuwa msuluhishi katika mzozo ✍️ Mapaja kuwashwa👉Utasafiri au utahama kutoka sehemu fulani kwenda sehemu fulani ✍️Goti la kulia kuwashwa👉Yatatokea maneno ya umbea yatakayo kuhusu ✍️Goti la kushoto👉Habari nzuri za kufurahisha na zenye manufaa kwako utazisikia ✍️ Unyayo wa mguu wa kulia na kushoto👉Litatokea jambo la kukushangaza na halitokufurahisha ✍️Unyayo wa kushoto👉Utapata safari isiyo na faida kwako na kama upo safarini basi tegemea kupata hasara ✍️ Unyayo wa kulia👉Utapata safari yenye faida na kama upo safarini basi tegemea kupata faida kwenye safari yako +255749597430