kwahyo sisi sote hapa tunataka kuamini kuwa mtu mmoja anaweza kusukuma gari ikiwa unapanda mlima??? labda itakuwa ni video maalumu kwa ajir ya kushusha brand biashara
2026-10-04 08:45:36
3
D A B Z I E 🇿🇲🇹🇿 :
tyre imekosa traction nzuri
2026-10-04 08:15:08
1
Mihayo Mkwachu :
mi nadhani ni dereva maana kama mtu mmoja ameweza kusukuma tena mkono mmoja 🤔🤔
2026-10-04 06:40:30
1
Low Profile🛞🚨 :
Madam hapo hapana snow flakes basi gari inapanda coz haitelezi
2026-10-04 17:18:54
0
Sniper Empire :
ata ist inapanda kirahisi tu apo tena na no2 , hiyo itakuwa mbovu
2026-10-04 07:29:52
1
kimosa :
power ipo ila inaweza kua ni aina ya tairi iliopo hapo
2026-10-04 07:55:00
1
Spy Cley :
kwa uzoefu wangu wa kuendesha gari
iyo gari itakuwa plug zina shida
au pengine kuna plug moja tu haichomi au coil gari inakosa nguvu
2026-10-04 08:05:29
1
Elly :
kakosea namna ya kupanda alitakiwa abane kushoto zaidi
2026-10-04 12:42:41
1
. :
shida ni tairi
2026-10-04 06:26:09
0
hunter._.20 :
Dduuuuuh!!!😂
2026-10-04 11:58:09
0
Thomas Mabamba :
hapo hakuna tatizo lolote la kiufindi
2026-10-04 09:54:49
0
sadamkidunda :
😂😂😂
kwahyo Mkuu hapo unaona shida ni gar au sio
2026-10-04 06:28:39
0
Omy Mkimbizi :
apo kuna ishu y kuaribiana buashara apo km paso tu inapanda itakuwa iyo
2026-10-04 06:25:06
0
Jackson Ngumba :
Duh noma sana hebu tufafanukie wewe
2026-10-04 05:45:44
0
MSUYA BUGATTI :
gari inachangamoto ya kiufundi iyo huo si mlima
2026-10-04 06:09:04
0
Gun boy :
acheni kuchafua brand za watu bn hiyo gari so yakushindwa kuoanda hapo
2026-10-04 06:33:23
0
Thomas Mabamba :
hapo siyo dreva,hapo ni hiyo milima coz gari ya hybridi ilikuwa kwenye mfumo wa umeme na betri iliisha charge na ilikuwa kwenye kipengele cha kujichaji
2026-10-04 09:52:34
0
Chingy :
yan gari ishindwe kupanda mrima isukumwe na mtu mmoja?🤣🤣🤣
Wachina wakutengenzee kitu kiko complete 100% hakina changamoto hawezekani 😂😂😂😂
2026-10-04 06:30:13
1
khanny wizzy🚚 :
dereva mweu
2026-10-04 06:03:25
1
SILENCER@lesss :
Hamn deleva umo hajui jinsi ya kutumia
2026-10-04 05:48:55
1
Simon dray :
Sina uzoef na hizo gari za kichina, lakn nadhan shida itakuwa ni dereva mwenyewe maana hapo naona kuna gari zaid ya mbili na ni front wheel drive lakn zinapanda na kushuka bila tatizo kabisa
2026-10-04 05:46:01
0
Strait f Hormuz :
upupu ni upupu tuu@jaivah23
2026-10-04 08:21:17
0
To see more videos from user @giomotorstz, please go to the Tikwm
homepage.