@ribangori: Hivi ndivyo mshahara unavyoingia na kutoweka! 🏃♂️💨 Leo mfalme kesho njaa📉Mshahara umeingia Ijumaa, kufika Jumatatu mfuko unasoma "network busy"! 😭💸 Siwezi kuelewa hii hesabu ya katikati ya mwezi jamani! Nani mwingine ameingia kwenye mtego huu wa kusubiri miujiza?
RibaNgori
Region: KE
Sunday 04 October 2026 04:31:12 GMT
Music
Download
Comments
Kcin😎 :
Tuwache hizi personal bana [Tears of joy]
2026-10-04 09:29:37
2
lwash :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]kabisa
2026-10-04 17:17:56
1
suma 📸 :
ndo ale chumvi [Tears of joy]
2026-10-04 06:40:44
177
Francis Wambu :
Na wiki ya tano[Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-04 07:13:47
35
🆂🆄Ⓗ🅴🅸Ⓛ :
Kwani mnaogopa kuscreenshot hii😂😂
2026-10-04 14:19:09
54
GN:Adamfrank🥷 :
na wiki ya tano😂😂
2026-10-04 08:06:55
68
faiyuue🥰 :
uyo ni mimi I don't fake life
2026-10-04 19:16:09
0
❤️ :
Kuna mtu kasema week ya 5 unaanza kutaga😂😂😂
2026-10-04 17:37:23
6
Maure²n💜💜💓💓 :
wiki ya tano mwewe anakurukia🤣
2026-10-04 17:24:50
13
Riche :
poverty cycle 😳
2026-10-04 09:10:06
20
cocoh bear :
huyu ni mm walai😂😂😂😂
2026-10-04 08:22:22
17
Shaul :
alfu tena unarudia the cycle... ohh my God😂
2026-10-04 14:32:25
1
inno :
kwahyo ambao hawana salary wao nikuku kila siku
2026-10-04 11:31:21
12
angii :
wiki ya tano unachijwa ama?
2026-10-04 17:00:07
2
mee shack :
wiki ya tano unaanza tena vizuri😂😂😂
2026-10-04 05:04:14
106
~Livy@🥰 :
Seriously 😳
2026-10-04 15:01:12
0
Brother :
😁😁😁😁😁imecheka kinoma daaaah
2026-10-04 06:42:49
8
𝐂𝐀𝐁𝐁𝐀𝐆𝐄 YA 210 :
single and searching
2026-10-04 14:13:04
3
jackprimesuno :
ambao hatuna kazi tukiona muamala wa 5000 tyu tunajiona matajiri hatari 😂😂😂
2026-10-04 15:48:18
2
petero Adi :
wenye wanauliza Wiki ya tano...kwani mwezi iko na wiki tano[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-04 13:45:09
2
van_mbwagodah :
Wiki ya 5 unaanza kutaga na mayai 😁
2026-10-04 17:14:32
1
smithpatrick2 :
very true
2026-10-04 07:07:35
3
Lola😍 :
Tuko wiki ya kwanza acha tuejoy next week we start dieting by force 😂😂😂😂😂
2026-10-04 08:59:19
3
maisha mangu aisee :
mko wp hku
2026-10-04 07:58:56
2
Nyakabuya :
Haki
2026-10-04 05:59:13
4
To see more videos from user @ribangori, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.