Kama usharifu waingiza mtu Peponi angeingia Abu Talib na Abu Lahab. Tutapimwa kwa amali zetu sio nasaba. Bilal sio sharifu lakini ni katika watu wa Jannah. Let's wake up guys.
2026-10-04 13:56:47
31
:
Mgunya ni sultani najivunia kuwa mgunya alhamdulilah
2026-10-04 11:38:06
10
:
Sharifu ndio ushuzi gani?
2026-10-04 11:20:54
3
:
kabila la kisharifu ni gani?
2026-10-04 07:12:49
8
:
Kwani mamake izzudin ni mtu wa wapi???
2026-10-04 12:48:46
1
:
sharifu hali sadaka
2026-10-04 16:40:20
1
:
mgunya sio kabila ni watu wanao ishi magunyani sisi ni wabajuni.
2026-10-04 12:03:15
16
:
hakuna kabila la kigunya Wala kabila la kisharifu...mm ni mbajuni
2026-10-04 09:27:18
5
:
Mfano mm ni mbarawa na ni msharifu naeza kusema mm msharifu lakini C mbarawa
2026-10-04 10:57:53
1
:
SHARIFF JAMAALILAYLI💕
2026-10-04 07:05:11
11
:
usharifu ni nini 😂😂😂
2026-10-04 12:42:34
1
:
SHARIF WA WAPIII
2026-10-04 13:53:03
0
:
laisa sharif, assharif huwa ladhi sharrafa nafsahu
2026-10-04 13:17:53
2
:
izu din
2026-10-04 12:08:00
2
:
BABU yangu likua akinambia...Hawa Ndugu zangu wakija kupata elimu na kuingia MJINI watawaletea mambo!
huko uliko ALLAH AKUREHEMU BABU,
Leo kweli ulonambia mengi najionea!
2026-10-04 16:31:31
1
:
Ahlulbayt, shariff, syed… na kama hamuaini hakuna kizazi cha mtume basi imam Mahdi atazaliwa na nani?
2026-10-04 13:31:26
0
:
Hata Abuu Lahab pia ni Sharifu tena Qureishiyyun Haashimiyyun.
Kwani Allah kesho ataangalia Usharifu wako???Amali Baba na Taqwa.merhaba
2026-10-04 15:13:08
2
:
Izzudin ni mgunya wa Lamu. Sharifu sio kabila. Maswahaba na wema walotangulia hawakujiita masharifu.
2026-10-04 10:22:29
8
:
umesema kweli maana sasaivi kila mtu akijua juzuu ammatu na akijuwa wasilati shafii nae anajiita sharifu tunao wengi
2026-10-04 13:38:08
0
:
Sasa lamu ma Kabila mawili sharifu na wagunya
2026-10-04 09:14:06
3
:
jamani kwa barawa ni mji sio kaabila
2026-10-04 11:30:04
1
:
sharifu mpaka wa???
2026-10-04 12:50:57
1
:
😂😂😂 kazi ipo
2026-10-04 11:22:42
0
:
Simtukane mgunya mgunya ni sulutani
2026-10-04 12:51:19
1
:
mashallah
2026-10-04 08:34:32
2
To see more videos from user @daarularqamonlinetv, please go to the Tikwm
homepage.