@jkizondo_swahilibites: Jee unajua tofauti ya Mahamri- Maandazi na Maadadhi‼️🤣🤣 #jkizondoswahilibites ##tanzaniantiktok🇹🇿 ##mombasatiktokers #swahilitiktok#zanzibartiktok
hio Mombasa yote ilikua zanzibar na ilikua chini ya utawala wa Oman
2026-10-04 16:04:59
18
M U H A M M E D :
na KDF imetoka congo
2026-10-04 11:34:52
10
champion :
dada sio kweli maandazi asili yake sio yemen ni india na hayo bakhamari ni tofauti na maandazi
2026-10-30 17:57:15
2
Julie L :
Sisi Twaita Mamuri😅
2026-10-04 07:04:34
21
zaahid :
wa Yemen znz walikuepo tena kabla tofauti Kuna ukoo mmoja wa alalawy walikuepo 12 wote ni ndugu walikua hapa znz wengine wakaenda mombasa kukapitikana kabila la al alawy mpaka Leo lipo znz na mombasa pia
2026-10-04 10:07:59
8
Dianne Hendrk :
but mahamri hayana nyama ndani mandazi Yana nyama ndani
2026-10-04 07:30:57
10
Ask mi more Products :
waambie kwa kizungu HAMIRA watanzania hawajui
2026-10-04 07:04:43
3
Mcknee :
maandazi yana upele.
mahamri hayana upele.
2026-10-04 09:40:26
4
Hhafidh :
Naam.... sisi tunayaita Maandazi.
Na wengine wanaita Half cake.😁
2026-10-04 06:55:25
2
Bin Mbarak Tamimi :
Huko Hadhramaut, Yemen, wanaita Bakhamri wala sio Bakhmaar.
2026-10-04 07:03:10
11
Doctor Mwaruwa :
wagiriama nao wanaita mahamuri
2026-10-05 06:11:37
0
Madmullah :
mahamri Ina viungu ila mandazi Haina
2026-10-04 08:59:38
0
Abdallah mpemba🇳🇱🇵🇭🇹🇿 :
Kuna watu wanaita banzi [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-04 09:42:20
1
Nasra Mohammed449 :
Mahamuri kwa kwetu ni maandazi ya Kupambia siyo ya kuchoma kwa mafuta. Yale ya mafuta ndiyo maandazi
2026-10-04 08:22:53
1
rmb7b :
Yaitwa bakhamri kutoka coast of mukalla hadhramout, Yemen 🇾🇪
2026-10-04 11:54:43
5
Hija Ali :
Asalam alaikum warabu wa Yemen wameingia Zanzibar mwanzo woman wameingia Zanzibar 1800 na sisi wazanibari tunaita hivo hivo mahamri neno maadazi limekuja baadae na neno mahamri linatumika nchi zote za kiarabu
2026-10-05 01:17:04
3
FANTASH :
na saudia twanunuwa yaitwa Baa hamri
2026-10-04 06:09:11
1
Jchief :
na mahandiii
2026-10-14 20:16:38
1
Al Bawab Tubla'q :
Hata Zanzibar , Tanga Wayemen waliland.
2026-10-04 07:58:49
0
Senkyz :
Dada anaongea Kiswahili fasaha na kizuri sana mashalaah
2026-10-04 09:59:59
1
Gt :
Mlimani yaitwa idathi😂🤣ama itumbuya🤣
2026-10-04 07:45:20
1
nura sarai :
bahrain wana yaita shanjibar nawanaeka jibun yani chees aah nachoka miee
2026-10-04 12:50:16
0
abdallahdullah268 :
Pemba wanaita mahamuri.
2026-10-05 08:09:05
0
K.A.M :
mombasa ilikuwa ndio makao makuu ya sultan wa oman Alyaarubi
2026-10-04 13:44:08
1
Ngozi ngumu :
from elhamr, the red ukiyatengeza yanageuka rangi nyekundu.
2026-10-05 10:31:38
0
To see more videos from user @jkizondo_swahilibites, please go to the Tikwm
homepage.