Mimi ndiye king’ang’a wa live😂sipati watu hata 0 naongea tena kwa sauti🤣
2026-10-04 08:39:09
13
Blossom accessories :
Niliwahi Ingia Mara moja let me tell you maina🤣🤣🤣🤣. Ukikaa kimya viewers wanaongezeka, ile nataka kuongea wanapungua mara wanatuma emoji za kucheka. Sikuwahi kurudia tenaaaa🙌
2026-10-04 09:36:52
6
Jessy Kuku butcher :
Niulize Mimi saivi sina sauti but we move regardless Mungu atutie Nguvu
2026-10-04 07:59:04
4
cute limah💖💝 :
Me nikiingia live nauza zangu bonnet wanapanda wanaume tu wananitongoza wanaaza kugombana na mm nagombana nao hata sielewi naingia ivyoivyo😂😂
2026-10-04 11:24:32
13
maternity lounge :
ndio ni kukomaa tu na wala usikubali mtu akukatishe tamaa
2026-10-04 11:21:12
1
Recy :
kuuza live is not for weak people yoooh
can u emergin nilikua natoroka kazin nafungia kwenye kachumba ntaingia live watu wanapita tu shwaaaaaa
2026-10-04 16:29:41
2
nagma botiqe zanzibar :
nakupenda dear nakuja inbox kipenz
2026-10-04 07:04:17
0
fadhilacollection1 :
Mimi ndo sijawahi japo natamanigi kuingia
2026-10-04 17:07:39
0
mom_boyz3 :
asante🥰
2026-10-04 07:53:03
1
shamiller👀👀 :
nakupenda bure,me nahitaj kuanza kuuza nguo za mtumba ila naogopa😒😒
2026-10-04 06:21:57
0
👗🩱Scholar One Store🥻👗 :
Sawa dada tumekuelewa sanaaa! pole na sauti
2026-10-04 06:17:44
0
devashy ❤️😇 :
Kwel 🥹🤌
2026-10-04 08:53:32
0
Aurahopeaccessories :
Kwakweli 🥰
2026-10-04 17:57:40
0
aminamitumba :
Fact📌
2026-10-04 07:58:51
0
MAMA G MTUMBA COLLECTIONS🩵💚 :
Kabisa 🙌🏻
2026-10-04 08:03:42
0
Lolo Luxe Beauty Hub :
Jamani mimi naingiaga wanapanda mpaka mia moja kheee ukianza kuongea ongea kuelezea biashara wanatoka wote na wengine wanaingia wanauliza tu maswali hiyo inang’arisha hiyo inatoa madoa ukiwaelezea wanakuambia sawa huyo kaondoka yani naumiaga kuna siku nikawachamba nikazima na live yenyewe 😂
2026-10-05 07:18:17
0
Amayna Collection :
Mungu atusaidie 🙏🏿
2026-10-05 07:49:00
0
Zuu_trend's :
True
2026-10-05 17:40:04
0
zizzyvijoramwanza :
😍😘
2026-10-05 08:18:52
0
Samla bae...😜 :
mimi ndo nimranza leo...na nimenunua kwako 🥹 Mungu nisaidie
2026-10-05 11:30:45
0
da huu collection, mtumba saf :
Mm nahisi km nimeshindwa c harisi kabisa
2026-10-05 11:02:40
0
lizy :
om
2026-10-05 08:21:31
0
tanga beauty store :
you deserve it
2026-10-06 06:11:37
0
haikaluxe_closet🛍️👗 :
our cc❤️
2026-10-05 05:45:29
0
To see more videos from user @janethempire8, please go to the Tikwm
homepage.