😂😂😂 kuyapata makopo ya kilo 50 ujazo kontena mnataka ni zunguke mbeya Yote
2026-10-04 09:19:06
28
kime b2 :
mda uo unakula unafua unavaaa unalipa kodi
2026-10-04 11:40:35
3
Abdul R. :
na yey anaishi wakati huo toa mahitaji yaa lazima
2026-10-04 11:39:52
8
CHINGA :
sinaela ila nalinda blandi
2026-10-04 11:26:51
5
I am Chichi Kimodo🫶 :
Uwo mzigo wote unaweza ukaenda kupima ukaambiwa ni nusu kilooo shemeji yangu alikuwa anajaza na maji kwenye michupa wakifika kule Wana mimina[Laugh approved]
2026-10-04 13:01:20
3
Jenipher Paul Havin :
hujataja hapo kg 1 inachukua makopo kiasi gani? jiulize why Kuna viwanda vinavyonunua makopo?
2026-10-04 12:03:46
5
Jonah Sacknoy :
aisee nilivyoona chupa za 10000 na kila moja iliuzwa sh30 ah guta zima
2026-10-04 10:28:57
6
FREY -SCOOT :
😂😂😂😂Unajua kilo 1 ya makopo n mangap bro😂😂
2026-10-04 13:02:59
2
Nyota njema :
kumbuka hapo makopo kabebe ni kilo1 tu
2026-10-04 09:02:40
5
Ami shasuju :
jaman watoa comments muwe wabunifu kidogo.. wengine furaha yetu ipo kwenye comments 🤗
2026-10-04 13:00:04
2
wanted :
mtaji ni nguvu mzee
2026-10-04 11:17:11
1
PRIEST__PABLO :
Ata mimi nilijua mtu anelipwa laki 3 kwa mienzi mitatu atakua na. Laki 9. 😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-04 12:30:11
2
Sajii# :
ohoo ngoja nisidharau kazi
2026-10-04 11:21:24
1
Mr flammable jr 🔥 :
labda kila kopo niweke mchanga kama watakubali sawa nafanya chapu 😂
2026-10-04 11:38:10
1
Panga :
si bora tu mseme tufanye usafi kwenye taifa letuu
2026-10-04 11:10:04
1
Ghost Rider😎 :
Kwaio mnataka wafanyekazigani kwenye hii nchi ya tanzania .. achen bhan
2026-10-04 11:41:57
1
Haji Mohamed :
mtaji unahitajika kaka wazania kuzurula bila kula jambo dogo unatakiwa uwe na mtaji ukusaidie kula
2026-10-04 11:38:44
1
NURUNJEMA SCHOOLS :
gari la maji likianguka me nawai makopo kumbe ndio deal hvy asee
2026-10-04 12:17:34
1
Supasoko :
Kiwandani wananunua kilo 1 shiling 700 ila mpaka ifike iyo kilo😂
2026-10-04 13:35:26
2
tonji_slipers2 :
hizo kg 50 hadi kuzipata ndo kizaazaa
2026-10-04 08:11:55
4
Zexizo :
Yaani hapo kwanza nunua pikipiki alafu Tembea Bar zote wafanya usafi wa kutoa makopo wambie wewe utakuwa unafika mapema sana Miliki mkoa mzima yaani ujulikane 😂😂😂😂
2026-10-04 12:35:28
2
nonodad80 :
kuyapata hayo makopo sasa
2026-10-04 08:17:55
2
Ramah :
Kg 50 kuyapata sasa ndo mziki unapo anza 😁
2026-10-04 10:43:57
2
RammyRich :
roba la kili 100 ndio kg 1 [Tears of joy]
2026-10-04 09:03:23
3
To see more videos from user @mrk.a.t.e.p.a, please go to the Tikwm
homepage.