Alhamdulillah mambo yanaanza kueleweka sasa kazi imebaki ndogo sana masheikh zetu wa kisunna endeleeni kukemea hizi hadhara za maulid zinaharibu sana maadili ya kiislaam
2026-10-04 12:08:45
1
Ichoboy Bajber :
na hayo ndio madhara ya bid3aa
2026-10-04 12:17:39
0
Mo_iphone_tz :
Safi sana mashekhe wetu wakweli utawajuwaTu huyu ni sheikh wakwel kabisa
sisi Tanga uwo mziki Moto akuna ole wako tukukute unapiga mziki Moto utatuambia umejifunza kwa nani
2026-10-05 06:19:37
0
HassanHD :
swahihi shekhe
2026-10-04 10:56:51
0
kasimahamadi :
shukran
2026-10-04 10:45:39
0
suleyman,al-alawiy بي :
yaa salaam yaa salaam
2026-10-04 12:47:47
0
Ramsominja_OG :
shekh Amekemea sana kwa Maqam zote hatari
2026-10-04 11:29:58
0
Zainabu123 :
tumuombe mungu atuhifadhi ishaallah
2026-10-04 12:01:49
0
Gologosi :
Sahihi
2026-10-04 10:18:52
0
user78171304017721 :
Dooh alhamdulillah toka nmeanza kukusiliza sheikh hakuna siku nmekuelewa kam leo sheikh allh akuhifadhi ukiwa kam sheghk wa mkoa unadhimma kubwa kwa allha kunyoosha jamii yako.... Ombi langu kwako kaa Chini na vijana wa madarisi has away wa mzki moto wantualibia dini hakika mashekh mnatukanwa kwa sababu ya hizo mdarasi za mziki moto huku kwetu dar hali n mbaya vijana wa kiume wananengua kama wanawake.. Ukiuliza eti wamswalia Mtumi hakuna dini ya ivvyoo nkuusia dodoma ni mji mzuli na unawanazuoni wengi.. Nkuusia simamia kidete kuzuia hayo ma swala.. Asalam aleykum warahmatullhai wabarakatul...
2026-10-04 14:00:03
1
Ng'wenga 🤝🤝🤝 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-04 10:45:14
0
Ng'wenga 🤝🤝🤝 :
[Pray][Pray][Pray]
2026-10-04 10:45:19
0
To see more videos from user @gaahonlinetv, please go to the Tikwm
homepage.