Mimi siwez kuwekeza kwa mzazi wangu cz najua Kila kitu kitakuwa Cha familia,Mimi nawekeza Kila kitu kwa watoto wangu,hata namba zangu za sir zote wanangu ndo wanaojua,hata nikianguka sasa hiv wanajua Kila kitu wao
2026-10-04 15:43:55
8
chibu diiiiiii, :
sasa samahani niulize kwamfano Nina family mke na watoto apo nifanyaje kwenye mali naitaji siku nikitoka duniani mke na watoto wasiingilie nifanyaje
2026-10-04 19:46:25
1
Ushindi Wangu :
Hilo tunalijua bhana!! sema TU hiyo njia tuliyo igundua inawatesa!!
2026-10-04 11:11:41
8
Big L :
Mbona safi tu
2026-10-04 18:40:54
2
Heldar23crf :
Hujasema bado
2026-10-04 23:46:01
0
Manyenye Makoye :
bado hujazema
2026-10-04 16:36:12
1
ام ريان :
Kuna shida. gan sasa apo
2026-10-04 17:29:10
1
Hassani Abdahl Ngachawa :
bola achukuee
2026-10-04 16:59:34
1
Ahmed :
c bora ndugu
2026-10-04 12:21:32
1
Ebenezer :
mama zg zt kwa jina la mama yg mzazi kwani mm sifi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-04 12:05:57
1
Home tz :
Sawa tu ila sio mke wangu
2026-10-04 12:23:41
1
buruhaniwawa :
tutaweka
2026-10-04 21:35:43
0
🔥''Eclat des beautés 👗👜👠🌹 :
bora ndugu zangu kuliko ...
2026-10-04 21:24:14
0
de great :
mie bora ndugu zangu wachukue zote maana maisha magumu tulioishi mimi na wazazi na ndugu zangu, nipo tayari wachukue zote tu.
2026-10-05 01:40:53
0
Blackboy :
sasa nyumbn nipo mwenyew na mm ana 80
2026-10-05 00:47:08
0
Assumani Ndayiragije :
Mbado tunandika kwa mama zetu poteleya mbali
2026-10-05 00:19:29
0
niran :
waelekeze mamaangu
2026-10-04 23:56:36
0
*ize tz# :
Juu Moto chini moto
2026-10-04 12:48:28
0
To see more videos from user @swahili_media.tz, please go to the Tikwm
homepage.