@victor_mwambene: 💰 UNAWEKEZA KWENYE HISA KWA LENGO LA KUPATA GAWIO? . Ni mambo gani unapaswa kuzingatia kabla ya kuchagua kampuni ya kuwekeza kwa lengo la kupata gawio (Dividend)? 🎯 Katika Episode hii, tumezungumza na Mwekezaji Lewis Tryphone, Muelimishaji wa Masuala ya Uwekezaji ambaye ni Certified na DSE, kuhusu mambo Muhimu ya kuzingatia unapowekeza kwa lengo la Kupata Gawio. 🎥 Tazama video hii ili ujifunze na kufanya Maamuzi ya uwekezaji kwa uelewa zaidi. 💬 Comment neno “COMMUNITY” nasi tutakutumia Link kupitia DM ili ujiunge na Community yetu ya wawekezaji BURE KABISA! Utapata nafasi ya kujifunza na kuuliza maswali mbalimbali kuhusu Uwekezaji Tanzania. 📲 Follow Page yetu ya @askinvestorstz kwa Elimu zaidi kuhusu uwekezaji. . @askinvestorstz . @lewistryphone . @victor_mwambene #AskInvestors #UwekezajiTanzania #Gawio #Hisa #ElimuYaUwekezaji.