@cityperfume_dsm: EPIC ADVENTURE ✨ 🔥: Ni perfume yenye blend ya citrus, aromatic, spicy, woody & amber notes. Harufu yake ni fresh, yenye mvuto wa kiume, yenye warmth kidogo na yenye kunukia kwa utulivu na kuvutia. ✊🏽🔥 Ina longevity nzuri inayofanya harufu idumu kwa muda mrefu na kuacha scent trail ya kuvutia. 🖤🙌🏽 🚚Delivery tunafanya ndani na nje ya SSM 📞call / whatsapp 0714171894 #cityperfume_dsm #goviral #fyp #perfume #frasesmotivadoras