@bintiwambinguduniani: Mafundisho ya kipekee kwa vijana ……🥺

🌸🦋 𝙁𝙚𝙮 𝙍𝙤𝙮𝙖𝙡𝙚 🌸
🌸🦋 𝙁𝙚𝙮 𝙍𝙤𝙮𝙖𝙡𝙚 🌸
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 04 October 2026 09:31:40 GMT
45287
2946
114
258

Music

Download

Comments

violethvioleth781
Violeth Violeth :
Mungu nisaidie maumivu nayo yapitia saiz
2026-10-04 12:15:26
12
neyg015
neyG :
ameniacha anerud kwa ex wake af miaka4 now🥹🥹🥹
2026-10-04 13:19:16
0
felistaliamkayafe
felistaliamkayafe :
amin amin
2026-10-04 14:38:23
0
nais3386
Nais :
😭my heart
2026-10-04 13:13:10
0
rosemzava985
Trisher &David :
Asant kk
2026-10-04 14:26:09
0
mom.e.2
Mom E 2💞💞 :
Nataman angenimbia mapema miaaka yote hii 9
2026-10-04 12:37:03
6
ninamxhofav
Official@pinkbird :
Niongee Kwa kusimama au Kwa kukaa😭
2026-10-04 13:45:51
2
leesongkhae
🫧Being Mrembo🌱 :
Sijui nimtagiii sijuii nisemejeee😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 yeye na dada yake Mungu anawaonaa
2026-10-04 13:57:07
2
user5545745874919
evelin :
Mimi aliniacha akamuoa lafiki yangu..nilikosa usingizi.kalibia miezi 5.. lakini maumivu yoteeeee atayaripiaaaaa.kwa jina layesuuuu..
2026-10-04 12:09:30
7
perfect76584
perfect :
yeye na dada yake Mungu ana waona 😭😭😭😭
2026-10-04 14:28:27
1
user1987733346337
user1987733346337 :
ni kweli kabisa baba nimeumizwa sana huyu jamaa kanipotezea muda mpaka nilipata presha,ameoa mtu mwingine
2026-10-04 11:57:21
6
evelyn.lissa6
Evelyn Lissa :
nashukuru MUNGU sina huo moyo wakumtegemea mtu hata nikiachwa muda wwte sipati mawazo napotezea
2026-10-04 12:34:44
2
user1914408879935
Trxh!! :
AMEEN
2026-10-04 12:34:37
1
miss.latifa94
Miss Latifa :
Barikiwa mtumishi wa mungu
2026-10-04 12:00:04
1
neyney3104
Neey❣️❣️❣️ :
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
2026-10-04 11:34:57
1
pretorial_girl8
FifiMeme🤎🥀🖤 :
watazame na wasikilize vizuri sio waanze kuwaita watu wafia ndoa.....kwa kina ndoa kuna mengi😂
2026-10-04 13:43:08
1
elizajames053
elizajames053 :
Kuna huyo mwingine hata kazi amefukunzwa na maradhi juu Eeeh Mungu wew ni fundi
2026-10-04 12:45:05
1
user4135035141206
happy wambi :
kabisa mchumgaj
2026-10-04 11:48:31
1
sawidaz
ashurasawida :
acha nipost hii mi mwaka wa 8 huu nakashasema anitaki aende nimemuachia mungu
2026-10-04 11:51:18
3
tuzopaulo
amkeni ayubu :
na kama nilikuwa namanisha lakin kadri muda unavokwenda mwenzangu anabadirika nisimuache kwasababu tuliahidiana🤔
2026-10-04 14:24:10
0
user2014126588061
user2014126588061 :
Acha tuu Mtumishi wa Mungu kuna kijana alinitesea binti yangu miaka 3 mwisho babake na wapumbavu wenzie walimwachia maumivu makali sana lakini Mungu wetu siyo Athumani amebakia kunywa pombe na ndoa yenyewe wamekwishaachana.
2026-10-04 14:35:55
0
tulajmadelesa
Mona@@$📌 :
yooo sijui niongee nini jamni ,niliumia mimi sio wakula sio wakulala using usingizi hamna sina nguvu nyie acheni kabisa halafu imagine huyo mwanamke aliyemuoa ni ananitambia ile mbaya uwiiiiiiiii MUNGU AMSAMEHE YULE KAKA😭😭
2026-10-04 14:43:10
0
user54976676105817
self love :
ukweli dear
2026-10-04 14:28:12
0
kalinakalinga
kalinakalinga :
Amina nakuelewa vzr mnoooo 🙏 barikiwa
2026-10-04 14:24:20
0
lucygerald79
Lucygerald :
mm yalinikuta ila najua Mwenyezi Mungu atanilipia muda Wangu alionipotezea uyu Kaka .machozi Yangu ayataenda Bure .
2026-10-04 14:28:41
0
To see more videos from user @bintiwambinguduniani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About