@chosenone_blog: "Sikupanga kusema chochote kuhusu kilichotokea lakini unaenda na kunidharau kana kwamba nitakaa na kuruhusu nisiheshimiwe. Video inakuja hivi karibuni. Kama vile hukuniomba nije nyumbani kwako kurekebisha mambo kwa sababu hukutaka yaishe hivi" Ameandika video vixen wa video ya #harmonize "Kudos" "Cristina" baada ya kushare video hii katika ukurasa wake wa Instagram. Ikumbukwe Kuna video zilizosambaa mtandaoni zinazomuhusisha Cristina kuchukua pesa Milioni 10 kutoka kwenye Card ya bank ya Harmonize.
chosenone_blog
Region: TZ
Sunday 04 October 2026 10:18:38 GMT
Music
Download
Comments
pretty fetty :
kuliliwa so kupendwa mcchna wanaume waigzaji wazuri tu 😳
2026-10-04 11:54:58
29
Pendo-prety😘 :
niliwahi mliza wangu kabla ya ndoa ila Kwa Sasa ni Mimi nalia😂
2026-10-04 11:15:05
60
Fatty♋️ :
We hy muigizaji hy [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-04 11:03:03
9
cassy gyal :
Men with drama
2026-10-04 11:36:58
9
odetha-wear :
Ila harmonize 😂😂😂
2026-10-04 11:17:00
21
vanilahizy :
usanii tu[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-04 11:53:14
0
Hannah 🇰🇪 🇹🇿 💪 :
Aiseeeee wanaumeeeee eishhhhhhh!!!!!
2026-10-04 12:25:30
0
mo_tronics :
ila hrmonize
2026-10-04 11:36:42
4
user7361946860125 :
cont creat
2026-10-04 12:10:00
0
H.H.H.🇹🇿V8 :
hii ndo maana ya ,,ila harmonize,
2026-10-04 11:29:13
4
gift gift :
kimbe hadi wasanii wanaumizwa na mapenz😂😂😂
2026-10-04 10:57:03
17
N95 :
[Tears of joy]
2026-10-04 11:35:50
0
Queen 🥀🦋 Mwaisaka 👩❤️👨♥️ :
Ilaaa mapenzii
llaa wnawake mafriji yetu ayagandishii n huzunii
2026-10-04 12:29:13
3
pureluxe_collection :
Khaaaa Ila wanaume😆😆😆
2026-10-04 11:46:37
2
MAYRAH🦋 :
ila harmonize
2026-10-04 11:43:50
1
Kamamaa❤️ :
K sasa keshasema wanapenda akiona hii
2026-10-04 12:05:45
2
Tinnah🦋🩶🤍 :
Kajala njoo tufanye kikao
2026-10-04 12:07:27
1
pauline💢💥 :
wanaume
2026-10-04 11:09:46
2
teeh :
sitak kucheka mm😅
2026-10-04 12:56:12
0
nyumbani_centretz🏘️🛍️ :
2026-10-04 13:00:25
0
Amigo De gratious :
wanaomlilia hawataki anawalilia wasiomtaka
2026-10-04 13:08:11
0
✈︎ ᗪOᑎ ᗯᗩ ᔕᔕEᑕᑎIᖇᑭ ᗩᗰYᗷᗩᕼYᖇ ᯤ :
😂😂😂😂
2026-10-04 13:13:21
0
sally01__1 :
Na kuliliwa sio kupendwa niulizeni Mimi🎵🎶
2026-10-04 13:04:37
0
NILYA CUTE :
😳tuseme ukwel😳pesa ina nguvu jaman😳
2026-10-04 13:02:14
0
malaika_yula0 :
2026-10-04 13:07:06
0
To see more videos from user @chosenone_blog, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.