Kwa Masada wa walio wengi. Ni kwamba sheria ya usalama barabarani sura 168 marejeo ya 2023 kifungu namba 61(2) (e) kinaeleza kuwa katika barabara yenye njia tatu dereva anatakiwa kutumia njia iliyopo kushoto kabisa. Kwa maana hiyo dereva ambaye ameovertakiwa alitakiwa kuendesha gari lake upande wa kushoto ili kuacha njia mbili upande wa kulia kwa ajili ya kuruhusu wanaohitaji kupita. Kwa aliyeovertake upande wa kushoto sheria hiyo kifungu namba 61(3)(a) (b) kinaeleza dereva wa gari akitaka kulipita gari lingine lazima alipite upande wa kulia mwa barabara. kifungu (b) kinaeleza kuwa anaweza kulipita upande wa kushoto endapo gari la mbele limeonesha ishara na Nia ya kupinda kulia. Wito wangu tuendelee kujifunza ili tuache kuendesha kwa mazoea bali kwa mujibu wa sheria ili kuepuka kuvunja sheria na kupunguza ajali za barabarani.
2026-10-05 06:33:45
11
DON MENDEZ - 18 :
ila super feo na newforce shida nyingine ilikua hii ikitoka ile ya sauli
2026-10-05 01:36:27
2
. :
nimecheka sana
2026-10-04 16:54:18
3
💥Mengi Frank :
hiii nimbaya hiiii Nan kapost
2026-10-04 21:16:28
0
Lomova tours :
wapo sawa tu hapo hakuna alie ovatek mwenzie wote wapo kwenye njia3 tofauti japo muelekeo mmoja
2026-10-05 10:59:09
1
Mpinga_aL Capone :
Hivi Hawa abiria wanao pata muda wa kurekodi na kutupia MAUDHUI haya wanaruhusiwa vipi na wahudumu wa Bus...hili jambo sio sawa kabisa linaleta taharuki kubwa
2026-10-04 18:11:06
2
pierejnr1827 :
barabara zetu kwenda mikoan ingekua ziwe hv tusingesikia ajal za ovyo ovyo
2026-10-05 13:39:35
1
𝐾𝐼𝑇𝐸𝑁𝐺𝑂 𝑃𝐸𝑆𝐴 2410🦺 :
Kwan bara barabara c inaruhusuu✌
2026-10-04 18:35:57
5
GOLDEN SUKA :
wanampiga mande[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-05 13:23:19
0
Tz_jr. :
mmemskia mzungumzaji lakini😂😂
2026-10-05 09:38:42
1
Just Jully :
akuna wa kumuweza new force
2026-10-05 07:15:13
1
GOLDEN HIDE💪 :
Tengenezeni barabara hakuna makosa ya kisheria ya ku overtake nchi haina barabara
2026-10-04 21:07:55
1
Fadhil 💥24@ :
me ndo npo hum kweny new force dah...h!!! nouma saaana wanetyu
2026-10-04 22:38:16
1
bonymbilinyi :
Kuna watu watasema wameovatek kimakosa bila kuangalia njia tatu hapo
2026-10-05 05:15:25
1
gruta :
aliyeovertake kushoto na aliyepitwa wote wana makosa kwa mujibu wa sheria ya usalama barabarani.
2026-10-04 18:59:55
2
🍏Ommy gayza 🍏🫶 :
Apo Amna mwenye makosa maana hy ni njia tatu na mstari unaruhusu njia zipo tatu wanangu wa newforce
2026-10-04 19:48:57
1
⚡️Collins⚡️⚡️ :
amemuacha muwakilishi wake apite
2026-10-04 17:36:40
1
Just Jully :
kitengo new force
2026-10-05 07:15:00
0
Empress👑Aira🌬 :
naona ndugu wawil wameona watembee pamoja😂😅
2026-10-05 14:22:53
0
dotto_travel :
boda boda😃
2026-10-05 16:41:31
0
pierre_wanaman :
familia wacha tuishinaye🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-10-05 14:14:51
0
Ayoub Yusuf :
hapo kushoto nchale kulia nchale😅😳🥰
2026-10-05 12:56:10
0
To see more videos from user @jc.africa.watch, please go to the Tikwm
homepage.