@dalali.moshimjini:

Dalali Moshi mjini Kilimanjaro
Dalali Moshi mjini Kilimanjaro
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 04 October 2026 11:15:24 GMT
27653
488
100
69

Music

Download

Comments

denis.minja4
Denis Minja :
Sasa Toka Lini Moshi Tukauza Mashamba Jamani Mburaa 😳😳😳
2026-10-04 21:37:16
27
lizy.mushy
lizy mushy :
Kwa mara ya kwanza naskia moshi kiwanja kinauzwa
2026-10-05 06:47:59
11
teddy.mosha2
Teddy Mosha :
hakina makaburii??
2026-10-05 07:42:32
2
user9743320073097
user9743320073097 :
Mungu sikia awa wanauza mkoa wangu
2026-10-05 13:45:11
1
neemamatem
NEYTEM :
hayo mashamba ni ya urith inawezekanaje kuuzwa??
2026-10-05 15:02:24
1
momy_sky1
momy_sky1 :
Jamani uru imepanda bei ardhi haishikiki tena
2026-10-04 18:51:35
0
mamakayai2
mamakayai2 :
Sqm ngapi..,?
2026-10-04 17:20:44
1
agatha.felix46
Agatha Felix :
moshi hakuna kiwanja kuna mashamba bwana waiii ngachoka
2026-10-05 09:08:21
1
user5156106614276
Liz :
yewuuuuiiiii tangu lini madalali wameanza kudalalia maeneo yetu?
2026-10-05 19:02:27
1
neyngaogmail.com
Ney :
ngachoka daaaaah
2026-10-05 19:06:35
1
happyjmongi2
Happy J Mongi :
hivi wachaga wenzangu mnanini jamani
2026-10-05 18:11:10
1
emanueli.didasi
Emanueli Didasi :
kwaaruturu apo
2026-10-04 18:09:23
0
mashelle_1
mashelle_1 :
yani mtu anunue shamba Uru milion 40 ana kichaa au
2026-10-05 18:29:58
0
sundaykway
sundaykway🏤🏣 :
linaukubwaganibosi
2026-10-05 17:31:51
0
libertymosha
papa musofe :
ni maajabu
2026-10-05 08:59:10
0
user7173472561032
Renee :
uru kabisa uru jmn
2026-10-05 04:59:29
0
christinatemba500
christina Temba :
Ukubwa sq meta ngapi.
2026-10-04 18:43:54
0
libertymosha
papa musofe :
hakina
2026-10-05 08:58:05
0
chrissurio2021
chriss :
kwa eneo alilo onyesha hiki ni kiwanja sio shamba ni nusu eka
2026-10-06 07:10:52
0
ladiioffic
ladiioffic :
nikiwanja au nishamba
2026-10-04 17:21:36
0
tinahmoshi
tinahmoshi🤍 :
Mi na chukia nikiona mchagga anaye uza arth jaman hii ni mbaya san kwa wachaga ni laaaan 💔💔💔
2026-10-04 18:55:28
6
tomnaabona
Tom Naabona :
Maajabu. inawezekana Ni utapeli.. Uchagani kiwanja kinauzwa.😃 Ananunua yeyote au Ni wachaga tu?
2026-10-05 11:45:02
0
visper913
Visper 🐳 :
hapa hata uwe mteja wa pesa ngapi . Jina lako la ukoo ndo litakupa access. kama sio jina lakichaga kesi za mahakaman hutoboi
2026-10-05 09:21:10
0
fransismushi673
Mr lastborn :
wazee wanauza mashamba jamani daah amn shamba la urithi ten
2026-10-05 04:20:22
0
kimarioavelyn
Lamtorobo :
Ukoo utakuacha kweli! ardhi ya wachaga!
2026-10-04 16:34:53
2
To see more videos from user @dalali.moshimjini, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About