@kanti_creative: TOA HELA YOTE ILIYOPO HUMO😀😀😀💔🚮 #wakala #tanzania #kanticreativeai #swahilicomedy #foryou

Kanti Creative AI
Kanti Creative AI
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 04 October 2026 11:27:41 GMT
16609
687
97
27

Music

Download

Comments

gemah001
Jema_ msule :
namba ya Siri je .....hajaniambia🤣🤣🤣
2026-10-04 11:29:48
5
roseaudax
rose🥰 :
hapo kuna 1700😁😁😁
2026-10-04 12:17:23
0
mburas.daughter
Mbura's Daughter :
kuna kama huyo huku kwangu yy anaongeza toa pesa yote alafu ukimaliza kasema mlipie cm yake ya mkopo haraka itazima 😂
2026-10-04 17:26:09
3
rachelkimola
Rachel :
kuna wale wanakuja na simu anakuuliza mtandao fulani upo unamwambia ndio ninakias fulani natoa shingap kwa lipa unamwambia alafu anakupa simu hii apa nitoleeee yaaani basi tu
2026-10-05 10:47:59
2
kboykiheke
K Boy Kiheke :
kuna mwingine mwamba anakwambia niunge kifulushi cha eartel unamwambia sawa unaingia menyu unamwambia taja namba anakwambia subili niangalie namba
2026-10-04 19:09:42
3
cosmastz5
cosmastz5 :
unatuwakilisha sana
2026-10-04 19:13:45
1
ninohtz1
ninohtz1 :
yani changamoto zawakala ninzito bac tu mala mteja akuite mwizi😂😂😂
2026-10-05 09:03:50
2
kaka.kiula
𝗞𝗮𝗸𝗮 𝗞𝗶𝘂𝗹𝗮 :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] 𝘆𝗮𝗹𝗲 𝘆𝗮𝗹𝗲
2026-10-04 15:18:25
1
hasinah700
Hasinah dutch🧕🦋 :
N no za sirii vinakuwagaa havijui 😂😂😂
2026-10-04 13:55:55
2
abdul.mitago
abdul mitago :
me huwa nawarudisha ili nipate maelekezo vzr
2026-10-04 12:29:47
2
oddobeibe
Oddo G :
😂😂lol
2026-10-04 18:07:32
1
baba_ilham1
أبو إلحم :
𝒎𝒊 𝒉𝒖𝒘𝒂𝒈𝒂 𝒏𝒂𝒘𝒂𝒂𝒎𝒃𝒊𝒂 𝒎𝒘𝒂𝒎𝒃𝒊𝒆 𝒂𝒋𝒆 𝒎𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆𝒘𝒆
2026-10-04 15:44:16
1
madicotheboy6
Madicotheboy :
yn hao wateja kama hao kwangu ndo wapo [Big LOL]
2026-10-04 17:34:07
1
aswilbne0nh
Anipha :
kumbe changamoto zinafanana kote😁😁
2026-10-06 07:32:45
1
hellen26074
hellen :
Bado ujauliza namba ya siri pia atakwambia ajamwambia
2026-10-05 11:14:39
1
user8143388385710
Suzy Mwita :
hii kazi changa moto
2026-10-04 12:24:10
1
user8251605480019
SHAFII :
unakuta wengine wanakuja na karatasi imeandikwa namba tu ukimuliza umetumwa nini anakwambia mimi nimepewa hivo tu
2026-10-04 20:48:41
0
misanamulembe
son mulembe✋️🖐🤚 :
kaka unapita mlemle duu kaz tunayo
2026-10-04 14:00:42
0
user2348437799037
hidmat cash point :
acha tyu wakweli tunatesea mawakala
2026-10-04 13:12:37
1
mgallah44
Kidonga🌬 :
😂😂 Ila bongo ...mim kuna wateja wakija wanaomba niwakate buku tu Yan anataka kutoa laki au zaid lakin anakuambia naomba unpunguzie makato kata buku tu
2026-10-04 13:11:18
2
tedytedy212
Coolgirl🦋❤️ :
Apo Bado ujaitwa mwizi na mteja 😂😂nachoka mimi 😂
2026-10-05 13:15:53
1
user9611481620518
Akamkazia macho🫪🫪 :
me hua nawarudisha namwambia kamuulize ni lain namba ngap?.halafu ndiyo uje.
2026-10-07 19:00:40
0
hyun.jayn
Hunter Yanny :
na apo ukute lain zipo mbili ukimiliza namba siri amesahau
2026-10-07 13:09:43
0
aniciastephano980
Anicia Stephano :
inanibaga iyo
2026-10-07 12:46:28
0
paula_202139
Paulah💝 :
yaaan🤣🤣🤣🤣
2026-10-04 16:00:13
1
To see more videos from user @kanti_creative, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About