@jumagoalz: 🔥🇧🇷 VINI JR. bado yupo kwenye game! ⚡⚽ Huyu jamaa bado ana kitu cha kutuonyesha 😮💨🔥 Kwa maoni yako, Vini bado ni mmoja wa wachezaji bora? 👇 ❤️ LIKE kama unamkubali 💬 COMMENT: VINI 🔥 #ViniJr #ViniciusJr #Football #creatorsearchinsights #videofootball