Mama call me every day we go die by hunger , Idey suffer day by day but money don’t pass on my circle., how could I fix it alone I use to cry 😭 hidden alone , my soul say u better switch off phone 📞 but I borrow some money I send to my mama ,{NOT EASY BE LIKE ME}🙆🏻🙆🏻🙆🏻
2026-10-04 22:54:05
13
_MM_21 :
oy oy 🔥🔥 kali kinoma
2026-10-05 01:09:11
1
Cherrie-divv🍒 :
Awww Letss flyyy nigga
2026-10-04 16:00:12
2
jicho la kwanza :
umetisha bamnyogode big up San🫂💪
2026-10-04 20:49:42
1
ALLEN :
Ronaldo
2026-10-04 15:57:36
1
Gifted ❤️matopa Gikombaa✍️ :
Hii sasa ndio itasumbua achia ngoma kali
2026-10-04 12:31:10
22
Daud Daud :
unanyimbo ngap kaka nizipakue kabisa ili niishi nazo
2026-10-04 20:15:19
13
Dee_Breezy :
Kaka ukiitoa hii ngoma nitag tuu🙌🙌🙌🙌🙌 iwe ringtone yangu
2026-10-05 05:59:36
2
Sokpoli Devid Akwasi :
man hii ngoma karecord kwa S2kzy na ukimkosa s2kzy nenda kwa ⚫️BLACKOO Black ndo maproducer ambao wako vizuri na vipaji kama hizi za viral
2026-10-04 20:01:42
6
Jy_saray :
Nice song
2026-10-04 16:39:17
0
Modiba Shafan :
hiyo nyimbo unatoa lin mwanet??
2026-10-04 18:27:31
8
kp-thê_søñ :
ikiwezekana toa iyo, na remix yake mshilikishe uyo jamaa. ni Kali sana.
2026-10-04 17:33:27
9
Kelly Magari mazur 0623039605 :
ampe colabo tu hajaharibu na bass la mwana ni🔥🔥🔥
2026-10-04 16:29:03
6
𝗗𝗷𝗠𝗮𝘀𝘂𝗱-𝗞𝗶𝗻𝗴𝗕𝗼𝘆 :
🔥🔥🔥🔥..yaana hilo callabo inashindaa wengi
2026-10-04 18:01:06
6
Daimos boy :
Bigap sqnaaaa wanangu nibonge mojaaa la capp nimependa sanaaaaa nawaoana mbali wanangu
2026-10-05 03:58:53
1
san boy :
duuh oya kwani hii mbele au bongo 🔥🔥
2026-10-04 18:21:22
7
hosmarion_bey :
ngoma kali kinoma naisubili sana ikiwezekana mchape rimix nauyo mskaji arie chana apo
2026-10-04 20:08:23
5
Richard Azory :
unajuaa sana mwanang
2026-10-04 23:35:28
1
tea☝️ :
mpaka nimetetemeka mtafute na fina zile nanananananaanaaaaaaaa heeeeeeeee ohuuuuuuuu yeeeee na darasa
2026-10-05 04:39:29
1
"STAR~WIZZY✨✝️" :
Kaka unaimba kam cyo mbongo unajua sanaa🔥
2026-10-05 05:37:21
3
Mr Benz :
Ebhnaee nyie jamaa n wa Tanzania kweli?
2026-10-05 03:56:52
3
DOI STIRIO :
dis song it's so 🔥
2026-10-04 18:58:59
2
DIRECTOR MJA GONGO :
ungeitambulisha tu hata leo maana mwezi wa 10 kutakuwa na elinino utashindwa kwenda studio
2026-10-05 04:16:25
4
🍇Sash💜cute🍇(❤️MRS TEO❤️) :
Dee ma favorite ❤️🔥🔥
2026-10-04 22:08:34
1
Godfrey :
damn🔥🔥🥰
2026-10-04 20:14:11
1
To see more videos from user @deesanboy7, please go to the Tikwm
homepage.