Moyo uliopondeka hautausahau.....hii ni ahadi yako Bwana uliyotupa🙏
2026-10-06 06:40:01
17
Baguma🫶 :
Trust in God all the days of your life. 🙏❤️Even when you go through difficult times, never give up—God is always with you. ✝️
2026-10-04 20:51:39
2
bigsam :
mwanaume anapopitia magumu huvumilia na kupambana nayo ila akipata ushindi juu ya hayo magumu hulia! usisahau hapa namzungumzia MWANAUME aliyelinda mgongo
2026-10-06 10:37:54
5
Jessy 💕 :
Chozi La mwanaume linaujumbe mzito sana…Mungu akamkumbuke huyu baba jaman🙏
2026-10-06 07:10:25
15
kibejr :
mtu wa Mungu endelea kufanya kazi ya Baba🙏
2026-10-04 16:22:57
7
angrkn :
😥😥😒🫂💔naumia kwakua nimezaa watt wakiume 🙏 Hua hawasemi changamoto zao MUNGU akuponye jeraha lako🙏🙏
2026-10-06 11:29:33
4
lastborn collection :
naweza kumpata uyo baba
2026-10-06 07:00:40
2
Lee :
ukiona mwanaume adi amelia hivi daah🥲
2026-10-04 18:06:53
5
Cheketua💜 :
natamani atokee wa kunikumbata nilie sana
2026-10-06 04:06:35
3
✝️Mtoto🥰 wa🥰 yesu✝️ :
Mungu utazame huu moyo umepondeka ,wewe mganga majeraha mtendeee yesu wangu 🥰🙏🥰
2026-10-05 03:59:17
9
user2808772331770 :
Kuna siku my MUNGU atatufuta machozi
2026-10-06 15:04:28
1
Ester matuta :
ubarikiwe kaka MUNGU aendlee kukupa nguvu ya kutumikia kazi yake
2026-10-05 14:27:58
1
loniee💯💯 :
Mungu akampe htaji la moyo wake🙏🙏🙏
2026-10-06 09:43:00
0
Nchambi :
watu wanapitia magumu jamani
2026-10-06 09:25:35
0
Mary🍒 :
Mungu anaita watu kwa njia tofauti amina
2026-10-04 20:02:37
1
Safina🍃🍂 :
Amen🙏
2026-10-04 19:58:28
1
dbrh🫶🫶 :
Amina sana
2026-10-04 13:20:20
1
Aginnes Ib :
Aminaa
2026-10-04 13:17:49
0
Jessy 💕 :
Lkn Kama ingefaa kumpata hata 1000 yangu ingemsogeza mahali…..
2026-10-06 07:11:09
1
penuelmichael :
hatasijui nalia nini😢
2026-10-06 08:31:30
0
eluvees :
tusichoke kufanya kazi ya MUNGU [Power]
2026-10-06 09:46:03
0
Jeremiah Philimon 🎤🎧 :
Nampataje huyu mzeee🙆🙆🙆😭😭😭😭
2026-10-06 09:17:57
0
dius_19 :
hongera kwa huduma
2026-10-06 11:40:11
0
amisi238 :
Amen
2026-10-06 08:59:05
0
Zuhura Juma :
ameeni
2026-10-04 20:08:33
0
To see more videos from user @jeremiah__edward, please go to the Tikwm
homepage.