Mashekhe tutizame mambo ya kuzungumza ayo mambo sio mada haswa
2026-10-04 13:51:38
3
Abu hudheyfah Bilal :
Nyimbo hizo za diamond hazina tofauti Na ngoma mnazo piga maulidin, zote ni nyimbo na ni haramu!!!
2026-10-04 19:57:45
1
Mahuja Jr :
kwahyo akiimba nyimbo yupo sahihi ndio maana hamkemei
2026-10-04 15:45:48
2
kitulizo :
mbona hamumfati diamond
2026-10-04 14:09:15
1
leylatotty :
mkumbuke yule ni Islam na mkristo
2026-10-04 14:16:10
1
Adil Yoro :
jmn Diamondi muislamu kumbe hovy kbs
2026-10-04 20:23:11
0
Kim :
Huyo sheikh anayesimama kwa maslahi ya uislam nani, watu wanaangalia maslahi ya kidunia tu
2026-10-04 13:16:13
1
Reymah Hassan Abdillah :
mwijakuu apewe umuftii
2026-10-04 19:12:30
0
SNIPER :
Kwaya gani riziki mafungu Saba ndo Kwaya
2026-10-04 16:52:41
0
Anyisile :
kwani Diamond ni Mtume Mpya
2026-10-04 15:44:41
0
Markaz Irthan International :
sio kila jambo masheikh wanatakiwa kuongea jaman lakn muda mwingne kukaa kmya ni bora
usisahau kujiunga na markaz Irthan International inshaallah kwa faida mbali mbali
2026-10-04 16:06:09
0
Ibrahim Shabani :
Ndio najalibu kijiuliza
2026-10-04 13:59:56
0
Safina Tandiko :
mi naona mziki na kwaya havina utofauti
2026-10-04 14:12:51
0
Abuu Dhulqarinain :
memeona kwayatu mbona ipenyeze kwa China hamsemi.
2026-10-04 13:22:42
0
issakalyango :
SISI WAISLAM DIMOND HATUHUSU NA HAYO MAMBO YAKE YEYE NA MUSIC WAKE ATAJUA YEYE MWENYEWE
2026-10-04 15:07:26
0
zookey :
tusiwaone mnaimba nyimbo za ccm
2026-10-04 19:25:21
0
Stivin Manase :
lakini akiimba muziki na kuchichora matatuu na kuvaa msaraba hamsemi
2026-10-04 15:20:16
1
hemedi Abedi :
sasa kwaya ina tofauti gani na bongo freva vyote ipo sawa shekhe tafuta vitu vya kuzungumza
2026-10-04 14:03:44
1
Hormuz :
Kwani hata huo muziki unafaa??? Yote ni haramu
2026-10-04 15:32:17
0
hashilhashil82 :
masheikh wa bakwata mtihani
2026-10-04 13:50:39
1
Hon mlaula :
wacha kupigia waislam kelele si wewe uende kwake uongee nae
2026-10-04 15:29:07
0
mpembafyoko :
kuimba Kwa ya ba kuvaa misalaba ni ipi hatari zaidi?
2026-10-04 13:56:57
0
To see more videos from user @khidmatv1, please go to the Tikwm
homepage.