Amen mtumishi watanzania tu ndo wagum kuelewa hapo
2026-10-04 15:22:29
2
JACK SODA :
asilimia 99 ya wanaonena kwa Lugha wamekaririshwa tu wala hawajajazwa na roho mtakatifu. Amini nawaambia hapo kwenye Kunena kwa Lugha kuna usanii mkubwa sana, hata utaratibu wa kujaza watu Lugha makanisani ni usanii na ukanjanja mtupu.
2026-10-04 16:39:22
0
Asumini Elisabeth :
Amen iyo ni kweli kabisa
2026-10-04 20:22:52
0
Ben Kahandukya :
sielewe mimi mutumushi wangu
2026-10-04 19:13:21
0
Sylvester :
exactly 💯💯 asante hii lazima nisave 😅 wanatusumbua Sana huku watu baba
2026-10-04 18:53:31
0
amanboniface :
maandiko gan
2026-10-04 17:49:47
0
user5317879380307 :
amina baba asante kunifundisha
2026-10-04 15:44:13
1
deo monica :
Nakuelewa sana Baba
2026-10-04 17:03:04
0
Mizani_ya_Imani :
Magembe leo umechochora
2026-10-04 17:49:10
0
Jiajili sasa :
Ameni
2026-10-04 15:04:37
0
albertbeatus :
amen 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-04 18:04:36
0
APOSTLE/PROPHET CHANDE UNSTO :
#safi
2026-10-04 15:23:04
0
El-elohe-Moshe :
MIMI Nina swali. je ni hawa watu 20 hao wakiwa sehemu moja ni sawa Kila mtu anene au hapo Kuna mwongozo wake !?
2026-10-04 16:39:22
0
Silas Emmanuel🌹🙏 :
Amin baba ubalikiwe
2026-10-04 13:40:57
2
To see more videos from user @fariji.edson, please go to the Tikwm
homepage.