@kigogo____2020: Yule daktar umeonabkadhia anayoipata huko mahakaman kila siku?? Hao wanajua kabisa ukiwagusa jamhuri inakushtaki ila wao wanatuonea sana huku mitaan wakivaa gwanda zao. Sasa ona sheria gani inamtaka akupige? .Tuko imara kuliko Jana💪💪🔥🔥 👇👇 Kuwa wakwanza kupata habar za moto🔥🔥 kwakufollow Account mpya @kigogo___2020
Kwetu mtu akikupa chai ni lazima umrudishie kikombe. 😂
2026-10-04 14:25:04
41
G :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] uyakavokuja ndoivo unavopokelewa
2026-10-04 14:27:19
1
HUSSEIN MLENDAS :
tatizo linaanziaga hapo kumpiga mtu kama mtoto kwa makosa ya barabarani mkirudishiwa?
2026-10-04 13:50:53
45
USTADHI WA TANZANIA :
mungu anisaidie jamn nisikutane na haya maana naipenda familia yangu
2026-10-04 14:28:00
10
s bb u :
unamoyo brooo zaru izo
2026-10-04 14:23:23
7
fau60elias47 :
wakipigwa wao kesi ila wao wana ruhusiwa kupiga raia ila hii nchi bas2
2026-10-04 14:38:34
10
Mimijr :
Mungu ni mwema siku zote🙏🙏🙏
2026-10-04 14:08:43
3
hassan_Salim621 :
Mungu nipe subira na uvumulivu kama huyu janaa😁
2026-10-04 14:47:40
3
:
Yaani pangechangamka😁
2026-10-04 14:52:59
1
MWITA CAR PAINT :
kuna sisi haturudinyuma mim naungana na doctar WA muhinbil
2026-10-04 14:35:21
10
A10 THUNDERBOLT :
huyo hakuona dokta alichofanya
2026-10-04 14:28:39
2
eagle🦅 :
lugha ya matusi imetumika na amefanya shambulio
2026-10-04 14:50:06
2
Tit4Tat :
Kiukweli inaniumaga sana pale ambapo unaona kabisa hapa nilipo sio sawa kwa sababu ya hali ya hewa inayoendelea kiundani maana nje kuna baridi ila poa tu mtu wangu usichoke endelea kusoma ya mwingine Mimi nimechoka kuandika😅
2026-10-04 14:33:04
4
saudat sultan :
sheria haipo ivo mwana mvumilivu sana ingekua ....... dah sijui ingekuaje
2026-10-04 15:05:38
0
Sinzela boy :
hii nichi saiv nikujitetea2 kivyako hakuna namna
2026-10-04 15:21:26
0
MRUTU FURNITURE @ :
niongee kwa kusimama au nikae🤣🤣
2026-10-04 15:08:44
0
BELLIE 🏅🪄 :
ubaya ni ukimpiga askari ni kama umegombana na waziri wa mambo ya ndani😂
2026-10-04 14:48:31
0
Farida William :
mmm
2026-10-04 13:51:03
0
ONESMO SUPER GRO :
kwa kwelii mimi.sina huu uvumilivu haina shidaa itajulikana
2026-10-04 15:00:42
0
tabitha_______ :
daktari alishahukumiwa?
2026-10-04 15:00:38
0
mamacleopatra :
huyu traffic matusi yote ya nini?
2026-10-04 15:41:55
0
mohammedshk64 :
2026-10-04 15:08:10
0
Prince 👑 :
Apo mkimrudishia kesi inageuka kwako😂😂
2026-10-04 14:57:39
1
WILLY BOY ELECTRICAL SERVICE :
naitaji guta kaka ya shamba
2026-10-04 16:38:27
0
mmbando mmbando :
una roho
2026-10-04 14:23:52
0
To see more videos from user @kigogo____2020, please go to the Tikwm
homepage.