@bongo_media: Kutana na @mrpoul_brand na @ankot_1 wakiwa Jijini Mwanza. Anko T anawashauri vijana na jinsi ya kauli mbiu ya Dudubaya @mambadudubaya24 inayowataka Vijana wote kuilinda migongo yao anavyoichukulia yeye kama yeye. Anko T anakwambia huwezi kuulinda mgongo wako kama hauna hela..... kama hauna cha kuulindia, hivyo tafuta hela.
BONGO MEDIA
Region: TZ
Sunday 04 October 2026 14:02:15 GMT
Music
Download
Comments
Papaa Jr ✈️ :
uncle na aunt wamekutana🤏😎YOU BETTER WATCH YOUR BACK
2026-10-05 19:21:06
0
Scott mamba :
kweny zile sababu tano zinazo sababishwa ELNINO no3 ni Anko T na wenzake 🥹
2026-10-04 14:21:10
72
emmanuel Athuman :
poul rock city😂😂😂😂
2026-10-05 11:12:34
0
cute 💕💘twenty four :
😂😂😂😂 ira Anko T kiboko
2026-10-04 15:58:52
2
rajaNi ngonyani :
bola niwe maskini kuliko kupumuliwa mgongoni
2026-10-05 18:50:50
2
iddimulunga2 :
[Cool][Cool][Cool] Anko T shida
2026-10-05 03:53:02
1
Fatma Mikpot :
anko unaweza kusimama vizuri
2026-10-05 03:46:34
0
Masudi hamisi :
wamekutana
2026-10-04 18:40:59
6
Classicnet solution :
utu wangu ni bora kuliko chochote
2026-10-05 09:40:42
3
datie 🍒 :
Mmhhhggg
2026-10-04 14:11:37
4
Selle Kaxhone :
kakindwe hukooo cc hatuna hela na tunalinda mikazo ti
2026-10-04 17:56:08
2
🇸 🇦 🇱 🇺 🇲 :
leo saut niyakiume
2026-10-05 08:28:49
1
mom RI 💕 bites :
anko unapendeza sana bana
2026-10-04 17:00:25
3
weladize abou :
kumbe se😂
2026-10-05 17:42:35
0
karimu denge🤙🤙 :
kwaiyo unashauri nini watu
2026-10-04 15:03:17
2
Agustino Msafiri :
T 🤣🤣🤣
2026-10-05 04:42:58
0
Godfrey Fabian :
Kwan nchi imeruhusu???????????
2026-10-05 07:39:02
0
Kim Peterson :
Nmesikia amesema “utashindwa kuulinda kama huna ela” [Innocent]
2026-10-04 19:17:37
1
user2099488726579 :
wakuu mmetisha
2026-10-04 18:20:28
0
mwanahawabakar :
kwaiyo unatushaur nn
2026-10-04 18:45:59
0
SIGE :
anko t
2026-10-05 08:43:45
0
deo msingapore :
kwani mwenye mji anasemaje
2026-10-04 18:36:51
0
erick boers :
Kwa hiyoo
2026-10-04 21:23:56
0
Queen 🥀🦋 Mwaisaka 👩❤️👨♥️ :
Mmmh T atakma Tz tunaumasikini sio kiivyo
2026-10-04 20:07:00
0
Ally kingolile :
ww dada2
2026-10-04 16:20:47
0
To see more videos from user @bongo_media, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.