@misktvofficial:

MISK TV
MISK TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 04 October 2026 14:37:11 GMT
25669
964
63
181

Music

Download

Comments

user4571113519830
user4571113519830 :
kwani wanachepuka? please give me good reason
2026-10-05 12:55:36
0
user8353340662628
user8353340662628 :
swaqda
2026-10-05 13:51:17
0
user811166381941
Zainab :
nyie niwaambie kuolewa mke wa pili ni mtihan Mungu atupe subra maumivu yake ni mtihan
2026-10-05 03:51:09
11
maymunasaid16
Maymuna Said16 :
kuowa ni sheria lakini .ihsan na wema nivizur
2026-10-04 20:46:59
8
khadija.abrahman6
khadija abrahman :
je na wao wakiumwa tuondoke? uvumilivu unahitajika kwa wote
2026-10-05 10:40:56
2
sarahbenedicto636
mama ayman :
jama namuonea huluma mkemwenzangu japo mumewe nampenda sana inabidi tu avumilie mim naolewa bwana🥰🥰
2026-10-05 10:23:14
1
user4129512659531
wanted :
Na waambiye sana ao ndio kwanza twataka oa
2026-10-04 16:14:04
2
zahra.jumanne
AbuuHussein :
Mwengine ana kwambia Hadi umjengee ukijenga na bado
2026-10-05 07:43:00
0
user8353092590145
mamy raykhanat :
mungu atupe subra lkn mumeanauma
2026-10-05 08:51:30
2
abdulirahmanisule
Abduli Rahmani Sulei :
mm mpk kesho kaondok
2026-10-05 04:57:23
0
user6769604611062
chozi :
kwanini iwe siri km din inaruhusu wake 4.
2026-10-05 10:29:46
3
dativajoachimwai
Ususuani :
lazima uumie ila kwa kweli basi aoe ukiwa mzima ili uweze kuhandle jambo Hilo. asoe wakati mke akipitia changamoto za kia afya
2026-10-05 13:24:16
1
mama.ruyhama
Mama Ruyhama :
Mimi ndio napitia haya maisha anaishi na mwamke na ingali Mimi ni mjamzito na hanihudumii namuachia mwenyezi mungu
2026-10-05 09:26:00
0
halimakambi992
Ramuziy kalu :
nakama mimi nimemupa ruhusa bado mume amekuja kuniacha bila sababu yoyote😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-05 12:25:44
2
sidekirama
sidekirama :
Apewe ulinzi Ukhtiii🥰🥰🥰
2026-10-05 11:56:02
0
user6203407639763
MUSHI :
akili nyingi saana
2026-10-04 18:44:35
1
masoud.hamad6
BIN HAMAD HINDI :
WAMBIE HAO WALIJUE
2026-10-05 05:12:11
0
dahuu303
DA HUU 💅💅💅 :
napita jaman
2026-10-04 22:40:53
1
mrs.chief29
Mrs.chief :
Mmmh sawa tu maana nafsi ishachoka Mimi na aoe tu dunia mi siumii tena🙏
2026-10-05 08:05:44
0
mrsalianovunga
mke mwema 😍 :
mola Ampe subra mke mwenzang
2026-10-05 07:41:16
0
user4571113519830
user4571113519830 :
Hudima sifuri dada.....subhanallah
2026-10-05 16:36:18
0
user7916555887715
rashida mamy :
kuowa nisheria ya mungu
2026-10-05 08:46:42
0
user6769604611062
chozi :
hivi hatari sana mume wangu alioa kwa sir miaka 4 mbaya zaidi kahamia uko🤣
2026-10-05 10:28:24
0
user55222907829446
samrat@8891 :
Masha Allah!
2026-10-05 08:30:00
0
abdallah.nondo
Abdallah Nondo :
mtetezi wetu amepatikana
2026-10-05 03:35:50
0
To see more videos from user @misktvofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About