@hubofwisdom.inc: Dhana ya wanaume wengi kuwa naukawaida wa kuchepuka huwa na hoja na mitazamo mingi. Hata hivyo ni vizuri kuzingatia sababu na masuluhishi yake. Dr. J.J. Mwaka katika mahojiano anatoa mtazamo wake kuhusu changamoto zinazokumba ndoa na mahusiano, akizungumzia sababu zinazoweza kuwafanya baadhi ya wanaume kuingia kwenye mahusiano ya nje ya ndoa, pamoja na hatua za kitabia zinazoweza kusaidia kujenga uaminifu na kudumisha ndoa yenye afya. 💬 Swali la Leo: Kwa mtazamo wako, ni mambo gani yanayochangia migogoro na ukosefu wa uaminifu katika ndoa? Tuandikie maoni yako kwenye comment section @hubofwisdom.inc au tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na mijadala katika kundi letu la WhatsApp au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media ........................................................... #DrJJMwaka #Mahusiano # #Trust #PersonalDevelopment #TheWiseTZ