@doctor_glory: Niitieni team Baby njoo home nimekumic nitamwagia nje hutobeba mimba…waweze kuelewa kuwa hata kama mwanaume akimwaga nje shahawa zake bado kuna uwezekano wa mwanamke wake kubeba mimba. #healthtipstiktok #healthtips #healthvideos

doctor_glory🩺
doctor_glory🩺
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 04 October 2026 15:18:01 GMT
98146
1642
37
312

Music

Download

Comments

mambombx6
ulomimeshack :
ni probability not 100% chief
2026-10-09 05:23:36
0
shayla0057
sheyla0057 :
Nna miaka2 natumia hiyo njia nasijawah kubeba mimba
2026-10-09 05:19:23
1
isher436
isher436 :
Naomba kuuliza tu ,,,, ety kuna sindano au vidonge kwa wanaume anaweza kutumia ili asiweze kuzalisha kwa muda maalum (kumpa ujauzito mwanamke)
2026-10-08 12:46:21
6
g_mmari09
G Twins🫶🏽 :
Sasa Dr. G, wewe umejuaje tunamwaga nje sasa🤔🤔😌
2026-10-09 04:01:38
0
abuu2960
Abuu :
we dada upo seriously au maan dah
2026-10-09 02:27:55
0
mecky.back.up
MECKY BACK UP :
Kama yuko salam
2026-10-08 16:19:26
0
marcusdaudi951
😎🔥 kj. :
Baaasiiii haya muanze kuniimbia kale ka nyimbo mwana kakuwa sasa nipo chuo mbona nachanganyikiwa nashindwa kwelewa😊
2026-10-08 21:20:53
1
sha59767
Salum🌴 :
pre ejeculation(gland liqiud) huo ute kaz yake kusafisha urethra(bacteria wa mkojo kwenye kuta za urethra)
2026-10-09 03:38:25
0
user4125338440055
de cute :
madam wang ❤️
2026-10-08 19:24:57
0
los4564
🦋Loïs🦋 :
daah
2026-10-08 22:53:26
0
merina.mbaruku
Merina Mbaruku :
kama ushamaliz
2026-10-08 15:51:30
0
daudcharles147
dapecha :
enjuculation😁😁
2026-10-08 19:57:14
0
boniventure_24h
unvarying mbx :
upo field eeeh 🤣🤣
2026-10-09 00:16:33
1
miss_hilder
Hilder msusi :
kusema ukweli mnatuchanganya konoma noma
2026-10-09 03:53:33
0
happythediana41
@happythediana4 :
tobaaaaaaaaaa🤔🫢🥱🙆🙆🙆
2026-10-08 23:27:08
0
rizikinaksh52
naksh :
Na mwanaume kama Ana Hiv halafu a mwage nje huezi athirika
2026-10-09 05:11:04
0
adam.mwendi
Adam Mwendi :
uongo uongo
2026-10-08 22:04:55
0
user295885231610506
NM² :
Acha uongo zile Sio mbegu nivisafisha njia
2026-10-08 21:34:40
0
ernest.msolwa
Ernest 👽🕷️ :
sio vimelea ni mbegu
2026-10-08 20:46:42
0
kambalefereddyy
🇨🇩kambale Freddy 🇨🇩 :
😁😁😁
2026-10-08 22:43:27
0
uwatakwaya
sylvester j mpanti :
😂😂😂
2026-10-09 00:59:07
0
To see more videos from user @doctor_glory, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About