@ali_wisdom: Sihitaji sana kuwa mtu anayependwa na kila mtu. Inanitosha tuu kuwa mtu mwema; asiye na unafiki, asiyesaliti mioyo ya wengine, asiyejipendekeza kwa sifa za uongo, na asiyewakumbuka watu kwasababu ya shida au maslahi yake tuu Nataka nibaki kuwa mkweli hata kama sitapendwa na watu wote. #creatorsearchinsights #viralvideo #foryou