me kuna uyo mmoja nimefanya kazi yake ikaisha tulikuwa hatujapatana, nampa bei anaanza kuniambia chukua hii tutafanya kazi nyingi nikamwambia kama hizo kazi ndo za hela hii nibora usinipe
2026-10-05 17:31:57
0
Solomon :
live big
2026-10-21 06:13:15
0
MSK BRAND :
Wengi wao wa namna hiyo ni matapeli sana
2026-10-11 12:50:26
2
Kaliua Plus Tz :
Wateja wa namna hiyo jau sana, pia huwaambia wengine mie alinifanyia kwa bei kdg kumbe ulimpa kwa heshima 😁
2026-10-05 04:25:22
2
𝐎𝐬𝐜𝐚𝐫𝐋𝐮𝐩𝐢𝐥𝐲𝐚 :
mapatano kwanza ya bei hzo nyingine zitakuja
2026-10-07 12:41:17
1
Ginner store tz :
Unaweza kunichorea
2026-10-20 11:53:59
0
Haniif Bahajjaj :
hamna mteja hapo
2026-10-05 14:59:11
1
mwango _cleaning_servises :
kabisaaaaa sitaki kuwasikia
2026-10-05 05:42:59
2
Rotin🍭 :
2026-10-20 15:47:47
0
RichBeeTz 🐝🐝🐝 :
Hua nimiyeyusho
2026-10-04 19:29:29
1
wizzypixel :
Upo sahihi
2026-10-09 03:02:33
0
ala baby :
nikweli
2026-10-04 16:59:00
2
Elimary Stylish :
Na wateja hao ni Mimi afu sjali 😁
2026-10-09 13:01:16
0
JADU TECHNOLOGY :
uhakika family
2026-10-04 19:03:21
0
Jullydrummer :
Wanasemaga hii ni platform kubwa 😂🙌😂
2026-10-07 13:45:05
0
pendo ramadhani :
daah
2026-10-05 11:09:32
0
KELLY CASSAN🇹🇿🇹🇷🇨🇳🇷🇴🌎 :
2026-10-05 08:28:28
0
travel.with.tripper :
Kuna wale wa kuuliza bei
2026-10-27 20:59:29
0
mollel :
point
2026-10-05 09:09:16
0
soul talk :
Kuna boss wangu mmoja alinipigia kaz yabgu bei nikamwambia yangu ambayo nilikuw na mudu kwa wakat huo yule kaka akakubal, baadae bdio yeye alikuja nifanyia finishing ya nyumna nzima kwangu na kwa bei alotaka yeye so bro point yang ni kwamba wapo anbao kwa ajili ya kukuumiza na wapo ambao wanasema hivo wakiw hawana kweli hela ila ni wateja wazuri
2026-10-09 17:03:55
2
Azamo_delivery :
na wengi wa hivyo ni waongo
2026-10-06 15:29:36
0
ℕ𝔸ℙ𝕆𝕀 :
xhinap
2026-10-04 19:10:15
0
To see more videos from user @nyumbasmart_appliances, please go to the Tikwm
homepage.