Mambo matatu ambayo shetani hawezi kukufanyia maishani mwako.
1.hawezi kusoma ao kujuwa kitu kilicho moyoni na akilini mwako, ila maneno ya kinywa yako.
2.hawezi kukulazimisha kufanya zambi, ila anakushawishi.
3. na la mwisho, hawezi kuzuwiya mipango ya Mungu maishani mwako.
Mungu akubariki, Amen
2026-10-05 04:42:48
55
SJ MODERN HOMES :
Mama mtumish mawili ya mwishi ni kweli ila la kwanza mimi bado nina tahadhari nalo
kuhusu kusoma mawazo ya mtu ... maana mawazo katika ulimwengu wa roho ni vitu halisi hivyo kwa kiumbe wa rohoni ana access ya kuyaona mawazo uliyonayo kama anaweza kuiona hatima yako anashindwaje kuyaona mawazo yako ? najiuliza sana kuhusu hiyo angle
bora nijue kabisa kama anayajua nijue namna ya kukabiliana nae kwa msaada wa ROHO kuliko nijifariji kuwa hajui mawazo yangu kumbe anayajua ...
2026-10-05 18:12:05
2
TeacherRobotComedy :
ubarikiwe
2026-10-17 15:26:21
0
joden002 :
amina mtumishi niombee niweze kuachanna na pombe
2026-10-05 16:52:39
6
Andjelani Mwanué :
amina
2026-10-05 14:56:13
1
George Kileyia :
Amina and in Jesus mighty name
2026-10-05 11:37:27
2
Elijah | Directed by JESUS. ✝️ :
ambao tunataman kumuona YESU na kukaa nae milele like hapa na MUNGU atatusaidia na tutamuona YESU nakukaa nae katika jina la YESU KRISTO nakila mwenye pumzi aseme amen🙏🙏
2026-10-05 18:01:23
4
DEDEES :
Amen Amen and Amen
2026-10-07 07:57:30
1
sunday77 :
Glory to God
2026-10-05 19:49:12
1
remedaustin139 :
AMINA AMINA AMINA AMINA
MIMI NI MWANA WA MUNGU
MAANA NIMEMKIRI YESU,
NAMCHUKIA SHETANI.
2026-10-04 21:05:37
8
Joy- Boniface :
🙏🙏🙏Amen
2026-10-05 19:10:05
1
Damas KINGUNGU BUSHIRI :
mama mutchungaji naomba kitabu juu ya kitu cha tatu ambao shetani hawezi kufanya
2026-10-05 13:25:43
1
⚘Mathias🌴 :
Amen and Amen
2026-10-05 17:03:07
1
SAUTI YA MAMLAKA :
hallelujah
2026-10-05 17:54:44
1
Emmanuel Peter :
BARIKIWA SANA🙏🙏
2026-10-05 15:20:45
2
Rukundo Charles :
Ubalikiwe
2026-10-04 16:20:40
3
BINT KADASO ♥️♥️ :
amina
2026-10-04 17:53:44
0
OLIVIER WUJING :
Amina na kweli
2026-10-04 16:05:52
3
gracia lulu43 :
🙏🙏🙏Amen Amen
2026-10-04 15:54:04
2
perii cuty 🇹🇿🇰🇪 :
Amen Mtumishi wa Bwana 🙏
2026-10-04 20:30:24
1
maman mamie :
Amen Amen maman merci 🥰🥰🥰
2026-10-04 17:43:43
1
wani❤ :
ubarikiwe sana
2026-10-04 17:21:18
1
Camille athanasia :
Hallelujah Ameeen 🥰
2026-10-04 16:08:43
2
RajMary :
May God bless you Mummy ❤️🙏🙏❤️
2026-10-04 19:26:55
3
fely :
God bless you 🙏🙏🙏
2026-10-04 19:56:53
1
To see more videos from user @immaculateconsolata, please go to the Tikwm
homepage.