@islamicswahilinet: Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Kizimbani, Raiyan Hemed Amour, amepatikana amefarik Oktoba 4, 2026, baada ya kuanza kutafutwa tangu ijumaa, huku akiwa amekatwa mkono. Raiyan, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Kwale Mpona, Jimbo la Gando, Zanzibar, amepatikana katika mazingira yaliyomshtua Mbunge wa Jimbo hilo, Salim Mussa Omar, ambaye amelitaka Jeshi la Polisi na vyombo vya ulinzi na usalama kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na sababu ya kifo hicho. Mbunge huyo ametaka hatua kali zichukuliwe iwapo wahusika watabainika, huku akitoa pole kwa familia na wananchi wa Jimbo la Gando, hususan wakazi wa Kwale Mpona. Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Sunday 04 October 2026 16:17:14 GMT
Music
Download
Comments
Driss Äydéén 🇶🇦🇸🇴🇹🇿🇰🇪 :
♥️♥️♥️♥️Love All Muslims 🕋 around the world ALLAHUAKBAR
2026-10-04 20:56:02
0
talib :
muguamlaze mahaipema[Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed]
2026-10-05 04:42:35
0
bin omary :
daaah inauma Sana Allah amjalie kauli dhabiti na alifanye kaburi lake liwe moja ya viwanja vya jannah
2026-10-04 19:28:45
39
OMAR.KIBUNJU.MOBILE📱 :
hakika hio nd safar yetu sote Allah atupe mwisho mwema [Hands open][Hands open][Hands open][Hands open][Hands open][Hands open][Hands open][Hands open][Hands open][Hands open]
2026-10-04 19:17:15
1
Lady❤️🫂 :
Nyiee nimeshindwa kujizuia machozi yananitok 😭 Allah atawabainisha wahusika hadi mkono bc 😭😭😭
2026-10-04 17:21:09
13
immah_makeup_artist74 :
Sasa pemba au unguja
2026-10-04 20:16:03
1
shamy🦋 :
innalillahi wainnailayhi rajiuun Allah atujalie mwisho mwema
2026-10-04 19:08:00
8
Akaya munaz :
inalilahi wa Inalilahi rajiun may Almighty Allah forgive her short comings and reward her with janatul firdaus yarabi
2026-10-04 16:47:48
1
Kombo Faki :
Allah awape subra ndugu jamaa na marafiki ktka kipindi hichi kigmu pia Allah amueke mahala pema peponi.
2026-10-04 17:23:30
9
Nassir :
ahh kuna watu Dunian Hawan huruma dah kuuwa kwao ni kama mchezo tu dah
2026-10-04 18:29:11
4
Zuhruu :
kwan huyuu s ndio yule wa pemba au
2026-10-04 17:32:41
4
Miu miu :
Innah lillah wainnah ilayhi rajiuun Allah ampe kauli thabit 🥹🙏
2026-10-04 17:14:48
2
12 :
inauma sn pmb ss hv imekuwa km Arusha😭inalilah wainailah rajiun
2026-10-04 18:06:11
1
Zakariya Awesu :
jamani mimi nauliza kakosa nini kwahao watu uyoo mtoto naona mdog et siwakufikia uko
2026-10-04 19:01:05
1
Abdullyazizi :
innallih wainallih raghuni
2026-10-04 18:23:42
1
Minaco 07 :
innalillah wainna ilaihi rajiun[Starstruck]
2026-10-04 18:05:49
0
princessmum :
innalillah wainaillahi raghajuun
2026-10-04 16:25:03
1
aramkonde :
Pole Sana wazazi wenzangu M/Mungu awape subra 😭😭😭
2026-10-04 17:51:16
2
Dijah Vijora :
Innalillah Wainnailah Rajiun
2026-10-04 18:10:19
0
Kamily001 :
Roho imeniuma sijuwi kwa mungu tunaenda kumjibu nini Allah amjalie nuru kwenye kaburi lake
2026-10-04 19:18:30
2
Selme__official :
unazaa kwashida unalea kwashida then mtu anakatisha uhai wa mwanao so sad rest in pease
2026-10-04 19:09:41
2
Helas.77😎 :
Sasa wew nani alokupa ruhusa ya ku posti iyo picha ya huyo mwanafunzi, unajua kama unamuongezea matatizo huko alipo, yaani daaahhh😮💨🥺munapenda kujiamulia mambo ndugu zangu.😞
2026-10-04 21:02:57
1
@iya 🔥🦋 :
Mtihan huu juz tu limeish tukiola Haiti leo kwetu tena polen wafiw nishakuw naogop jaman🥺 mauwaj ya kikatili
2026-10-04 22:05:43
1
@dam jr :
duh 😭😭😭 yni bdo mdg cn tyr washamdhulum mungu atujalie mshisho mwema
2026-10-04 21:26:41
1
Ibrahim tz🌸❤️🦋 :
Yaallh nakuomba umsamhe makosa yake na uwape subra na uvumilivu familia yake 💔🕊️
2026-10-05 05:09:14
1
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.