@lutystar3: KILIO CHANGU Part 77 Baba Nadia alikuwa amesimama kwenye msimamo wake… lakini sasa kuna jambo limebadilisha kila kitu. 😔 Baada ya kujua kuwa Nadia na Dorian wanatarajia mtoto, anaamua kufanya jambo ambalo hakuna aliyelitegemea—anawaita wazazi wa Dorian kwenye kikao. Je, hiki kitakuwa kikao cha suluhu… au mwanzo wa mgongano mkubwa zaidi wa familia? 👀🔥 #KilioChangu #Dorian #Nadia #creatorsearchinsights #plottwiststhatkeepviewersin
Lutystar
Region: TZ
Sunday 04 October 2026 16:27:10 GMT
Music
Download
Comments
𝕃𝕠𝕧𝕖 𝕃𝕦𝕟𝕒..🦋🦋 :
Hawa siwaelewi yaan kama Dorian kabadilika simuelewi
2026-10-04 16:35:47
2
🌹Grace Obedi🌹 :
next please
2026-10-04 17:55:02
0
Ornella shagali :
next please
2026-10-04 18:00:51
0
néné kavira :
nime kuw wa kwanza jaman
2026-10-04 16:30:35
7
Fadhili :
jamani kweli ndoa zipo Ivi ndugu zangu
2026-10-04 16:39:19
1
Rahma baby :
atimae nime ipata hii akaunt
2026-10-04 16:38:37
1
Prosencia💕💕💕 :
Nipeni like zangu nimewai Leo
2026-10-04 16:40:09
1
Nauriya Soud :
Next mpeleze 💯
2026-10-04 16:33:35
0
Otisotieno65 :
so nice
2026-10-04 16:35:33
0
USENI MWANAMILUMBU :
mungu naomba dorian aba dili dini nawapenda kutoka congo
2026-10-04 17:04:50
2
rukiaalfani206 :
muendelezo samaani
2026-10-04 17:04:41
1
Willie :
next please 🥰
2026-10-04 16:41:32
0
mrs ms 85 :
hapa watoto watafata nani
2026-10-04 16:54:12
0
Lesampu❣️ :
mimi nitafurahi sana mkioana🥰
2026-10-04 16:56:32
1
macrena🥰🥰🥰 :
nimewahi sijachelewa san jmn
2026-10-04 16:32:31
2
miss pinc :
badili dini dorian
2026-10-04 16:36:30
1
kavira mwangaza :
next
2026-10-04 18:24:29
0
🌿mimi🌿 :
🌝🌝si wachane jaman khaa dorian arudi kwa angel me napitaga tu sikuhizi😏😏
2026-10-04 16:54:35
0
sweet emmy🥰♥️🥰🌹 :
kilio 2nacho sisi huku ila kwa dorian yuko pw natama dorian arud kwa angel
2026-10-04 17:44:42
1
nancymutegi35 :
Wa3😊🥰
2026-10-04 16:35:43
0
Zeddy Saleh :
Hii ni vunja kichwa haki
2026-10-04 18:29:15
0
Fatima Hamis kingube :
baba Nadia km babaangu tu yaan mzee alikuwa na msimamo yule.....
2026-10-04 17:41:12
1
Aristote :
76
2026-10-04 18:19:04
0
Simran :
next
2026-10-04 18:25:21
0
Kemcy Viko Kirui :
Enjoy ameomba msamaha Hadi nimemuhurumia
2026-10-04 18:05:36
0
To see more videos from user @lutystar3, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.