@jvckieseven: mwaka 2002 baada ya mwanamama lady jay dee kuachia wimbo wake ulioitwa vijana kama mabinti aliomshirikisha mwana FA, basi mwaka 2003 kundi la ngoni tribe likatoa huu wimbo ni diss track ya kumjibu lady jay dee. wimbo huu unaitwa WAMAMA KAMA VIJANA kuhusu producer wa huu wimbo nadhani alikua ni master jay, (japo sina uhakika sana 😁😁) Baada ya kutoa wimbo huu ndio ikawa anguko lao mazima kwenye game kwa sababu flani flani siwezi kuzitaja ila kuna mkono mkubwa sana ulihusika kuzima ndoto za hawa jamaa, sijajua kwanini na wao waliamua kutoa diss track hii ya kumjibu jide 😁😁😁
wana ngoma nyingi bhna
1.MAZOMBE, 14yrs nw
2.SIRIMBA /lady jaydee walim shilkisha iyoh 18yrs, nk .
"SHIDA ILIKUWA NI PESA ndo wakatofautiana RESPECT BRO #TBT moja iyoh 🔥🔥🔥
2026-10-05 13:36:02
4
Uden :
wana ngoma nyngi hits sjui wako wapi,wako talented
2026-10-04 19:21:57
4
Princito Tzee Delavider 😘 :
Hawa jamaa wakali sanaa, walivyoona utani umekuwa mwingi wakaua kabisa na "Mandungayembe" na wimbo ukafungiwa, nadhani ndio wimbo wa kwanza kufungiwa 😂😂😂😂
2026-10-05 11:06:08
6
Frank chitanda :
kati ya hawa jamaa na lad jaydee ni nani wa Kwanza
2026-10-04 17:58:41
2
south_bongo :
Wangekuwa wanatunza hakizao wangekua matajiri sana wasanii wa BONGO🔥🔥