Kuna mahali umeniguza ndugu na mungu alie juu tujalie tukapate kazi tusirudi nyumbani mikono mitupuu mungu wangu nmemaliza mwaka mmoja bila kurudi nyumbani juu ya kukosa kazi
2026-10-08 11:29:50
2
Sylvain Visika :
Tunaogopa ku rudi bila hela. Mungu abariki kila mpambanaji🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-09 05:45:20
3
Baba Mkasi :
Ukwel mtupu
2026-10-09 12:02:08
0
muhamd gogo tz :
daaa mungu tubarki wote tunao pambana
2026-10-08 19:35:15
1
user4856635079359 :
hii hoja inasisimua Sana huyu jamaa aliesema basi kweli ana hekima kubwa mno
2026-10-08 06:07:43
2
user9103907666595 :
daah Mungu nibariki nifanikiwe
2026-10-09 11:59:20
0
legendary kelle :
me wakwanza 🏆🏆🏆
2026-10-07 04:23:38
1
yunus mwanzi :
uminigusa san kak
2026-10-08 08:20:20
1
arsenally 2025/2026 league and :
kweli
2026-10-09 10:48:59
0
gazally a.k.a kidika :
tupo wengi sana mkuu natuna pambana sana aseeee
2026-10-05 12:31:11
2
vernom :
nifanyie moja
2026-10-09 03:07:52
0
Dmartial :
ukweli
2026-10-09 04:30:55
0
Zenamatin6 :
kabisa
2026-10-09 06:06:33
0
user40366387733 :
umetoaa ujumbe mzuri sana hongera. 🤣🤣🤣😂😂😂
2026-10-09 04:59:00
0
Hassan macopolo :
🥰🥰🥰 sawa mkuu
2026-10-04 19:16:35
0
shadrack :
ukweli
2026-10-09 03:58:23
0
mayeka mashauli :
2026-10-08 21:42:06
0
mwalimu films :
Miaka 7 sasa
2026-10-08 22:14:18
0
Moses mosbei :
ukweli
2026-10-09 02:42:58
0
timmyboytzboytz :
kwa heshima familia God's plan 🙏
2026-10-09 14:58:22
1
fadhiri :
acha2 mwenetu nimbaya sana bigap✌️
2026-10-09 00:28:06
0
DJ Q Boy :
Dah kaka kweli kabisa Mungu atusaidie wote tunapambana
2026-10-09 03:04:35
0
Yusuph Kamera :
kweri kiongozi
2026-10-04 19:40:18
0
To see more videos from user @mohamohd65, please go to the Tikwm
homepage.