@user8547024609026: namba 0770450431

Ahmed mahmod
Ahmed mahmod
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 04 October 2026 16:50:19 GMT
15416
469
81
44

Music

Download

Comments

user8082708468506
maryam :
wali wangu usije ukaula nimeutia libwata 😅😅
2026-10-05 04:27:47
7
amoura_as122
잔ㄴ지발 :
hii ni kwa zanzibar tu, wallah Allah awajaalie pepo jambo kubwa sana
2026-10-05 05:43:17
5
kidogo60
Lady ❤️ :
iyo ndo raha ya kukaa zanzibr🥰
2026-10-05 02:37:35
27
lovellymam
lovelly❤️ :
utieni kwenye friji jamni musiule nautaka😩😩😂😂😂mmenikmbusha nilisahau biriani langu kwnye gari nilkua nalfkria tu😂😂😂
2026-10-05 04:39:00
3
yasir.acdoctor
yasir. A/c doctor. :
amjasema gari ya wapi.
2026-10-05 04:33:55
1
shanaza627
shanaza :
Zanzibar Raha sana njoo huku kwetu bara 😂😂 haturembi
2026-10-05 07:10:52
1
haji.d.zanziba.mke
cute sam😘💋💞💝💖 :
wangu uwo niletee uroa[Tears of joy]
2026-10-04 20:08:45
5
abofa77
abofa :
mashallah zanzbr
2026-10-04 22:09:25
7
ms.marlow2021
Khadija Hamadi :
wali wangu usiulee
2026-10-05 02:29:44
2
user2908122880051
user2908122880051 :
nlikua napeleka spitali
2026-10-05 04:52:55
0
sharifa.muhammad8
Sharifa Muhammad :
we ahmed weyeeee😅
2026-10-05 04:13:42
0
ali.kigogo3
Ali mpemba :
nakuja ila wali msiule
2026-10-05 05:06:35
0
iya130958
@iya 🔥🦋 :
😂😂😂😂 Umejuw kunichekesh
2026-10-04 23:01:03
1
judy_hopps33
Its_Judyyyyy :
nlisahau pizza yangu kwenye gari nashuka nipo juu ya boda ndo nakumbuka nliliaaa 😭😭
2026-10-05 05:37:23
0
ana.samata
subra n ngumu ila Ina malipo :
hongeren kaka zang
2026-10-05 04:09:15
1
alwiy.aliy
Alwiy Aliy :
😳😂😂😂😂😂😂😂😂nime cheka kwa kelele walah😱🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-05 03:45:53
1
said.maroo
Said Maroo :
kuna haluwa kwa mbali hujaitaja Mzee baba
2026-10-05 07:03:15
0
ramlaomary611
Ramhuz :
iy inaitw rizki y mja imo mikonon mwa mja nimechek wali tunaulaaaa
2026-10-04 23:06:38
2
alawi6481
alawi :
bata rohooo
2026-10-05 06:10:29
0
dhulkifly.said.al
Dhulkifly Said Ali :
Waliii tunaulaaa 🙌🙌🙌🙌
2026-10-05 06:12:45
0
baby.chama1
baby chama :
vyang ivyo
2026-10-05 07:52:52
0
babiloni0621622102
MUDATHIR🥇🚭💕⚽️ :
salut
2026-10-05 07:49:47
1
samycute543
SAMYCUTE54 :
Hhhhh
2026-10-05 08:04:07
0
moses_jr83
Moses_jr :
hiii ndo zanzibar ninayoijuwa mm
2026-10-05 07:37:29
1
saidkudar
saidkudar :
Yangu
2026-10-04 17:34:09
0
To see more videos from user @user8547024609026, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About